Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Sema kweli!
Imeishaaaaaaaah
JamiiForums-86313747.jpg
 
jimbo la kigamboni wapo live sasa hivi kupitia chanel ten jione mwenyewe mtu mzima akifurahishwa.
 
Kigamboni, Ubungo, Ilala, Kawe na Ukonga.... Matokeo yake niaje?
 
Waziri wa Fedha Dr. Mpango anakabiliana na mhe. Obama mbunge anayetetea kiti hicho jimbo la Buhigwe. Kasulu mjini ni waziri wa Elimu Prof.lJoyce Ndalichako dhidi ya Daniel Nsanzugwako mbunge anayetetea jimbo hilo.

Dr Mpango anatokea eneo lililo pembeni mwa jimbo hilo na lenye wakazi wachache huku Obama akiwa mzaliwa wa Manyovu upande wenye wakazi wengi. Kwa upande wa Ndalichako huyu amekulia na kusomea Kigoma mjini japo asili
yao in Kasulu mjini.

Awali alikuwa agombe Kigoma mjini lakini akakimbilia Kasulu baada ya kuona jimbo hilo uamuzi wa kuwa mbunge huamliwa na wazee wa Ujiji ambao ni waislamu.
Umenichekesha wewe.Ujiji ndio iamue mbunge!! Mbona population ya ujiji sio kubwa.Labda mtazamo wa wanakigoma kigoma kuwa muelekeo was ACT ya bwana zito.Kigoma huwaambii kitu kuhusu zito,sijui watamchoka lini!!!!
 
Naona kila kura ni ya bwn.Ndugulile pale kigamboni....kuna kila dalili ya mwanamfalme kudondoka....
 
KUTOKA JIMBONI SIHA

1. Dr Godwin Mollel........... *58*
2. Justine Kweka *85*
3. Lameck Munuo... *91*
4.AGGREY MWANDRY... *151*
5.Eng.Betson Maimu.... *231*


Eng. Betson Maimu... [emoji3581][emoji3581][emoji3581]
Safiiiiiiiiiih woyooooooooooh
 
Jamani, tunaomb akujua kura za maoni kw Arusha Mjini, Kawe, Moshi Mjini, Misungwi, Ilemela, Nyamagana, Musoma Mjini Dodoma
Kule Moshi mjini Kura zinaendelea kuhesabiwa Ila tengemea Mr shayo us Mr priscus waliotoa rushwa watashindwa kwa kishindo Cha nguvu ya fedha.Hapo kigamboni pia Kura zinaendelea kuhesabiwa
 
Back
Top Bottom