Sasa kosa lake liko wapi? We SI ulimuuliza kwa kejeli kuwa bado tu anatumia FB?We ndiyo mshamba akitumia atumie kimyakimya asituletee hapa habar za FB
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia akili japo kidogo, kama unayo!Nimeandika uzi, kuwa Makonda ndiye Mbunge wa Kigamboni 2020-2025. Mods wamefuta!!
Mnataka niandike nini?!!! Nimekosea nini hapo!!! Pumbavu sana
Poti, huyo ameshakatiliwa mbali huko... Ubabe una mwisho
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Labda kama anashinda njaa
Nakemea na mimi yaani na kimuhemuhe kama mimi mke wa mtia nia hata mmojaNakemea hii roho..
Shindwaa saitaaani...
Unipitie twende wote, hata bila kibali nitaandamana.Kwahiyo nimuamini nani sasa? Nyie mbona mnanichanganya hivi wakati tayari nimeshaanza Kujiandaa ili nianze Shamra Shamra zangu Mitaani?
Tuna imani na Filipo Mpango!Mbatia anashinda tena hapo.
Dr.Kimei uwaziri wa fedha utamuhusu serikali ijayo.
Wahamiaji amambao walikuwa CCM, wakahamia Upinzani, Then wakarudi Tena CCM uhakika wa Kushinda unaweza kuwepo; Itategemea na Potential zao Mfano Cecil MwambeWahamiaji hawezi kutoboa popote pale mkuu, matokeo sina lkn hili kamwe haliwen
ShunieNakemea na mimi yaani na kimuhemuhe kama mimi mke wa mtia nia hata mmoja
Kimei si kashindwa,au uzushi?Tuna imani na Filipo Mpango!
Jimbo la VwawaKamwangusha Nani?
Umenikumbusha furaha ya machoziSijawahi kuwa na Furaha kama niliyonayo Leo hii na mpaka unaona GENTAMYCINE natoa Mbuzi zangu Tano kama Zawadi jua nimefurahi mno tu!
Alishachukua form zaman tu...sema hujaona tu mapichapichaSijui Nape mlamba soli Ila January alipoona ubatizo wa Moto alioutangaza babake kwa wapinzani alitangaza hatagombea