Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Polepole anasema waliowaacha katikati ya mto, nao katika chama watawaacha hapohapo, kwani wamemsaliti Rais aliyetaka wamsaidie.

Hawawezi kuwa na watu wasiotosheka.

Ametoa kauli thabiti isiyo na mashaka kuwa chama hakitawapitisha wale wote ambao Rais aliwateua kwenye nafasi mbalimbali za serikali. Amesema wamekula vinono halafu wamemsaliti aliyewapa vinono.

Source: Kipindi cha Calculator RFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Faustine anatajwa sana. Mkwe wangu angekuwa mjamzito akipata grandson ningemuita Faustine ningemuomba awe Baba wa Ubatizo. Anaelekea kuwatoa watanzania kimasomaso.

Leo najua kuna watu watakunywa mpaka wasahau nyumbani[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weee acha tu sijawah hata kuonja soda, ila leo heinken itanihusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom