Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu kama Cuf alikuwaHivi huyu alikuwa chadema?
Kama ndo hivi Gwajima hatoboi.Siasa sio kuwa maarufu kwenye mitandao ya jamii.Mpambano wa Gwajima ni kesho.
Kwa kifupi tu, wewe jua Gwajima hawezi kutoboa. Ataangukia pua kwa aibu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mollel alipewa promo na JPM Hadi akapewa unaibu waziriMollel Kesi yake ni tofauti na Mwambe; mwambe Alikaza hadi mwisho, Mollel Amehama kuunga Juhudi;
Lakini pia refer Promo aliyompiga Magu, kwenye mazungumzo yake kule Dodoma, kwamba jamaa ni potential, ila CCM walimkata, akapita Dirishani, Sasa anataka kurudia Mlangoni kwanini wamkatalie??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Patrobas Katambi hawezi toboa milele. Hata akishindanishwa na mbwa, bado mbwa atashinda.
Mbatia akishinda vunjo, nitaacha kupost hapa JF milele. Hana huo ubavu. Mwaka 2015 Mbatia alibebwa na nguvu ya CHADEMA kupitia UKAWA. Kwa sasa Mbatia ni sawa sawa na msaliti.Mbatia anashinda tena hapo. Dr. Kimei uwaziri wa fedha utamuhusu serikali ijayo.
Mjema aje nimuajiri kwangu, anilelee wanangu. Tatizo waliowahonga wamewageuka.Sofia Mjema chaliii kwa Musa Azan Zungu yani waliacha kazi sasa wameona kazi kupata kazi chaliiiiiii Ilala
View attachment 1511894
Achana na Lemutuz aisee. Mbuzi mnachinjia wapi?
Anaopambana nao ni wepesi sana kwake.akishinda makonda naenda kuchukua kadi ya CCM faster. Maana kwa democrasia ya uhesabuji wa kura hakuna longolongo
Kule kwetu nitagombea 2025, nmtoe huyu mama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu nae inatosha sasa.
JESUS IS LORD[emoji120]
Ni vema safari ikaanza kiongozi.Nitahamia rasmi CHADEMA au ACT Mkuu.
Aridhike wakati alienda hapo kimkakati.. Kimei alikuwa airudishe chaggaland kwenye maamuzi ya nchi hii. Sasa huyo Koola unafikiri hata uenyekiti wa kamati atapewa?Aridhike!