Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Mollel nae alikuwa CCM kabla ya kwenda Chadema kisha kurudi CCM, Ila kaangukia pua
Mollel Kesi yake ni tofauti na Mwambe; mwambe Alikaza hadi mwisho, Mollel Amehama kuunga Juhudi;
Lakini pia refer Promo aliyompiga Magu, kwenye mazungumzo yake kule Dodoma, kwamba jamaa ni potential, ila CCM walimkata, akapita Dirishani, Sasa anataka kurudia Mlangoni kwanini wamkatalie??
 
Mwanry katafunwa lichwa (151) Mkuu na Bwana Dr. Mollel (58) ndio Katia aibu kabsaaaa...

Hawa akina Maimu hawa habari yao kubwa sana
 
Nakumbuka kabisa ambavyo mlinihakikishia kuwa Mtu anaenda ' Kumalizwa ' kwa namna ya Kipekee kabisa na hatoamini Macho na Masikio yake nikawa ' nawabishia ' hatimaye kile kile mmekifanya. Kwa Furaha Kubwa niliyonayo kwa Kazi yenu nzuri nashindwa Kuendelea Kuandika hapa ila naomba mkubali na mpokee hizi Zawadi za Wanyama Mbuzi Watano ili mkachinje mle huko Makwenu na Familia zenu.

Hata Ubebwe vipi, utumie Vitisho gani na utumie Pesa zako za Dhuluma ila Mwenyezi Mungu akisema NO huwa anamaanisha NO mazima hasa.
Walimshauri vibaya!
 
Sofia Mjema chaliii kwa Musa Azan Zungu yani waliacha kazi sasa wameona kazi kupata kazi chaliiiiiii Ilala
Screenshot_20200720-180918_Twitter.jpg
 
akishinda makonda naenda kuchukua kadi ya CCM faster. Maana kwa democrasia ya uhesabuji wa kura hakuna longolongo
 
Vijijini kama hauna connection nao sahau hata kama una hela na mjini na nchi inakujua. Huko watu wanajitambua nini wanataka.
Kimei sio jina geni mpaka huko kijijini.. Wanamjua sababu aliwajengea CRDB kule Marangu mgombani kabisa..

Ndio maana nataka nimjue pia huyo Koola ni nani??
 
Back
Top Bottom