Mbona nasikia ameshinda?Tena wakiongozwa na Mimi GENTAMYCINE Mkuu na bahati nzuri hata Mhusika Mwenyewe anajua fika kuwa Simpendi na sitokuja Kumpenda pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nasikia ameshinda?Tena wakiongozwa na Mimi GENTAMYCINE Mkuu na bahati nzuri hata Mhusika Mwenyewe anajua fika kuwa Simpendi na sitokuja Kumpenda pia.
HahaMpambano wa Gwajima ni kesho.
Kwa kifupi tu, wewe jua Gwajima hawezi kutoboa. Ataangukia pua kwa aibu.
Umeanza jeuriMjema aje nimuajiri kwangu,anilelee wanangu. Tatizo waliowahonga wamewageuka.
Yaaaaan dea leo wee acha tyuuuuh, khaaaaaahUmechagua beer sahihi hutojutia mkuu [emoji847]
HahhaaahaWasanii mjifunze, hacheni shobo na siasa, mpoki kapata kura-0
Kujenga crdb huko kijijini sio ishu, ishu aliweka close connection na wakazi wa huko? Wamempiga chini wana sababu hao waliopiga kura za kulpitisha, kama amgepita hapa off course kwenye ubunge angepita.Kimei sio jina geni mpaka huko kijijini.. Wanamjua sababu aliwajengea CRDB kule Marangu mgombani kabisa..
Ndio maana nataka nimjue pia huyo Koola ni nani??
Hilo haliwezekani milele. Ukishaharibu, huwezi tena kutengeneza kwa siasa za sasa za CCM. Ni bandika bandua. Cecil Mwambe asahau kabisa ubunge. Akalime Korosho tu.Wahamiaji amambao walikuwa CCM, wakahamia Upinzani, Then wakarudi Tena CCM uhakika wa Kushinda unaweza kuwepo; Itategemea na Potential zao Mfano Cecil Mwambe
ina maana hata yeye hajajipigia au hawaruhusiwi?Wasanii mjifunze, hacheni shobo na siasa, mpoki kapata kura-0
Barafu mbona habari za kigamboni zinchanganya sana kwenye uzi.Makonda kajitumbua, jpm hana lawama
Sema mama Mjema alicheza kamari haswa, yaani uache ukuu wa wilaya ukashindane na Zungu kweli?Sofia Mjema chaliii kwa Musa Azan Zungu yani waliacha kazi sasa wameona kazi kupata kazi chaliiiiiii Ilala
View attachment 1511894
Umetoa maoni yako negative kwa uonavyo wewe.kwa point hiyo ya ukawa mbona basi pia kuna wabunge wengi hata wa Chadema watapigwa chini kwa sababu ukawa haipo tena.Mbatia akishinda vunjo, nitaacha kupost hapa JF milele. Hana huo ubavu. Mwaka 2015 Mbatia alibebwa na nguvu ya CHADEMA kupitia UKAWA. Kwa sasa Mbatia ni sawa sawa na msaliti.
Binafsi sijapenda kabisa kwa ccm kumrudisha tena ndungulile sisi wanakigambon hatumkubali kabisa huyu mtu hakuna alicho Fanya hatuna soko hatuna barabara nzur yani ccm mmpeteza jimbo tunampa mpinzani mnakera sanaaa
Mtani puuumbafu kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijawahi kuwa na Furaha kama niliyonayo Leo hii na mpaka unaona GENTAMYCINE natoa Mbuzi zangu Tano kama Zawadi jua nimefurahi mno tu!
Nadhani hawaruhusiwi , siajaona wagombea wakipiga kura koteina maana hata yeye hajajipigia au hawaruhusiwi???.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app