Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Sijawahi kuwa na Furaha kama niliyonayo Leo hii na mpaka unaona GENTAMYCINE natoa Mbuzi zangu Tano kama Zawadi jua nimefurahi mno tu!
Ila kumbuka kuna kukatwa na mkulu. Itategea ataamkaje siku hiyo. Mimi naona baki kwanza na mbuzi zako zizini. Utakuta aliyeshindwa kawa kidedea na aliyechaguliwa na wengi kawa chali. Hii ni Tz. bwana!!!
 
Prince Makonda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeee
 
Aridhike wakati alienda hapo kimkakati.. Kimei alikuwa airudishe chaggaland kwenye maamuzi ya nchi hii.. Sasa huyo Koola unafikiri hata uenyekiti wa kamati atapewa??
Kumbe hoja yako ni ukabila, akafie mbali huko!
 
Binafsi sijapenda kabisa kwa ccm kumrudisha tena ndungulile sisi wanakigambon hatumkubali kabisa huyu mtu hakuna alicho Fanya hatuna soko hatuna barabara nzur yani ccm mmpeteza jimbo tunampa mpinzani mnakera sanaaa
Tatizo amegombea na mtu ambaye hatakiwi hata kwenye maoni. Hivyo imempa advantage ya kushinda. Mbona Kigamboni iko planned vizuri na Barabara zinajengwa sana? Ndiyo Wilaya itakuwa modern sana. Issue kubwa ilikuwa kumchinja jamaa. Kama ni kweli alihonga 1m akatoaj umla300m kama inavyosemekana basi ajue mtu anakula kwako choo anapeleka kwingine. Ni funzo kubwa mno kwake.
 
Binafsi sijapenda kabisa kwa ccm kumrudisha tena ndungulile sisi wanakigambon hatumkubali kabisa huyu mtu hakuna alicho Fanya hatuna soko hatuna barabara nzur yani ccm mmpeteza jimbo tunampa mpinzani mnakera sanaaa

Ilikuwa ni mkakati! Havikuletwa ili mumchukie mumpe mwana mpendwa kura
 
Mzee wa chattle aliwabeba, sasa na huu mkuu wakajipa mabichwa....jamaa kawachinjia baharini...wale hizo hizo walizopata!!
 
Wamesahau hata ndio alikuwa anawajaza CRDB[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua Dr.Kimei sio mwanasiasa.sasa huwenda alizidiwa kete kidoogo.ila Magufuli aliahidi kumtumia kwa jinsi alivyomchapakazi hodari.
 
Back
Top Bottom