Ila kumbuka kuna kukatwa na mkulu. Itategea ataamkaje siku hiyo. Mimi naona baki kwanza na mbuzi zako zizini. Utakuta aliyeshindwa kawa kidedea na aliyechaguliwa na wengi kawa chali. Hii ni Tz. bwana!!!Sijawahi kuwa na Furaha kama niliyonayo Leo hii na mpaka unaona GENTAMYCINE natoa Mbuzi zangu Tano kama Zawadi jua nimefurahi mno tu!