Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Kwani hao wazee waislam ndio wanaopiga kura peke yao? au wao ndio wasimamizi wa uchaguzi? Nini kimepelekea hadi kuingiza udini katika hili? au ni chuki zako tu kwa waislam?
Kasome vizuri historia ya nchi hii ujue mchango wao na jinsi walsivyokuwa na uchu wa madaraka ila wanapenda haki.
Na kwa kuongezea Pitta Selukamba kashinda mara mbili na si Muislam
 
20 Julai 2020
MAULID MTULIA ATOA NENO BAADA YA KUPIGWA CHINI KURA ZA MAONI/AKUBALI MATOKEO



Aliyekuwa mbunge jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam ndugu Maulid Mtulia amesema kuwa amekubali matokeo baada ya kushindwa kwenye mchakato wa kula za maoni kwenye jimbo la kinondoni kwa kuambulia kura 11.
 
Back
Top Bottom