NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
hii,,,[emoji23]Paulina Christina makombo aka Daudi Albert Bashite ibilisi...... Shetani ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii,,,[emoji23]Paulina Christina makombo aka Daudi Albert Bashite ibilisi...... Shetani ....
Mmh bado hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dea tayari mbonaaaah
Kama alikua hana hela na hajui pa kuzipata kwanini aliahidi?
Kitila kapakimbia kwao Iramba huyuUbungo
Kitila Mkumbo 172
Mwantum 73
Tupe matokeo halisi ya kuraMakonda amegaragazwa vibaya
Wasanii walijua followers wa insta tweeter na fb watawapigia kura, hata hyo diamond angeingia wangemchinjaHao Followers wa insta,Facebook na Twitter wanawadanganya!
Kwakuwa kwenu usukumani mna mawaziri na manaibu na makatibu wakuu na wakurugenzi mambo yenu yanatembea tu mnachukulia poa au sio.Kumbe hoja yako ni ukabila, akafie mbali huko!
Hata mimi hichi kitu kimenishangaza sanaSema mama Mjema alicheza kamari haswa, yaani uache ukuu wa wilaya ukashindane na Zungu kweli?
AminaMungu mbariki Dr. Ndungulile
Mpango ukuzaliwa ili awe waziri wa fedha.
Sio rahisi, weeeMakonda amegaragazwa vibaya
Mbona nasikia ameshinda?
Ukikutana na wajinga utafanyaje?
Na kwa kuongezea Pitta Selukamba kashinda mara mbili na si MuislamKwani hao wazee waislam ndio wanaopiga kura peke yao? au wao ndio wasimamizi wa uchaguzi? Nini kimepelekea hadi kuingiza udini katika hili? au ni chuki zako tu kwa waislam?
Kasome vizuri historia ya nchi hii ujue mchango wao na jinsi walsivyokuwa na uchu wa madaraka ila wanapenda haki.
Mwanri chali huko Siha, na Dr Kimei nae tayari chali huko VunjoKila la Heri Waheshimiwa Paul makonda, Gambo, katambi Ole sendeka na Mwanri👏👏
Makonda Amepata kura 122 kati ya 398 ngoja Dr Ndugulile tuone atapata ngapi.kigamboni vipi?