Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Mollel Kesi yake ni tofauti na Mwambe; mwambe Alikaza hadi mwisho, Mollel Amehama kuunga Juhudi;
Lakini pia refer Promo aliyompiga Magu, kwenye mazungumzo yake kule Dodoma, kwamba jamaa ni potential, ila CCM walimkata, akapita Dirishani, Sasa anataka kurudia Mlangoni kwanini wamkatalie??
Mollel alipewa promo na JPM Hadi akapewa unaibu waziri
Yaani kuteuliwa na Magufuli kwenye Uwaziri ujue kama Ni endorsement flani hivi Ila kwa Mollel imedunda
 
Patrobas Katambi hawezi toboa milele. Hata akishindanishwa na mbwa, bado mbwa atashinda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom