Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Jamani angeridhika tu na hayo hayoPaul Makonda amegomea matokeo yanayoonyesha kushindwa na ametaka kura zihesabiwe upya huku yeye akiwa muhesabuji mkuu kwa upande wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anataka kurudisha mpira kwa kipa?Paul Makonda amegomea matokeo yanayoonyesha kushindwa na ametaka kura zihesabiwe upya huku yeye akiwa muhesabuji mkuu kwa upande wake.
Akitoka hapo anaenda lala kwa hasiraMakonda sura yake inaonesha Kama kapaniki
Kwisha habari yake.Makonda sura yake inaonesha Kama kapaniki
Huyo jamaa aache ujinga, alifikiri ni uteuzi huo?!! Utopolo kabisaPaul Makonda amegomea matokeo yanayoonyesha kushindwa na ametaka kura zihesabiwe upya huku yeye akiwa muhesabuji mkuu kwa upande wake.
Kiukweli, ndungulile kashinda sababu aliyekua anapambana nae watu hawampendi ila ndungulile nae hajaitendea haki kigamboni, angekua na mtia nia mwingine wa maana angepigwa chini saa sita mchana...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo mwepesiiiMkeka wangu umetiki ngoja nikanywe bia zangu,bado kesho wa Porn Star Gwaji Boy
Dah!Bado wanacheza mziki hapa
Macho yote tunamtizama Paul Makonda aende mwenyewe live kuhesabu kura zake na kusaini kushindwa.
Tayari independent observers tayari wameshaona ushindi wa Dr. Ndugulile ila muda si mfupi msimamizi anatangaza ushindi rasmi wa Dokta
MATOKEO KIGAMBONI, MAKONDA CHALII, NDUGULILE AIBUKA KIDEDEA...
source : Global tv online
Kipara kimezidi kunyonyoka zaidi [emoji38][emoji38]Kuchunga mbusi kumewadiaView attachment 1511921
Na we unamwamini kabisa pdiddy anachopostSasa ule utopolo wa makonda ulikuwa unaupost ulikuwa unautoa wapi?
Na mahips yale hawezi mikiki mikikiWatambeba bashite
Si una access nae insta? Ungemwbia.Kumbe nanyi mnakiri hapendwi! Kwanini msingemshawishi abaki na mkoa wake