Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliohesabu naye wanadai ni 198Vya ndungulile vingi sana
Jimbo gani Hilo?eti kura inandikwa tokomeza zero
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hivi ukiweka hapa mfano 075465xxx atakupatia wapi?Wenye namba zao za Simu ( Members ) watakupa ili ' Uwalengeshe ' yawapate ya kuwapata ila kwa Mimi sikupi ng'o Mkuu kwani sitaki Kuuwawa.
AcksonTulia.
Lakini ile Statement ilikuwa inawalenga sana waliocha madaraka yao; Kama ilisikilizwa kwa makini kabla ya hiyo Statement contextualy Alianza kuzungumzia tamaa za watu, ndio hiyo statemt hiyo ikaja. Labda mzee abadilike, lakini statement yake ililenga zaidi walioacha kazi ambazo muheshimiwa aliwaamini akawapa, na wao wakaamua kuacha.Hahaha wajumbe washamaliza kazi yao ya kupiga kura ila kuteua jina siyo kazi yao inategemea "mtu furani" ataamkaje.
Hata Kigwangala alikuwa mshindi wa tatu lakini alichaguliwa!! Kwahiyo wapwa na wakulungwa wasishangilie kwanza.Hapo ndio penye kazi sasa
Mimi ninaishi kigamboni, point ya 2 ndo naweza nikaikubali na hiyo 3 inawezekana sababu ni lazima ahonge.Hapana sio zali!
Alichuana na Abdullah Mwinyi mtoto wa rais mstaafu awamu ya pili, Mimi nafikiri Ndugulile alishishinda kwa mambo matatu;
1.kutetea mradi wa mjimpya Kigamboni...
Huyu muhuni anaweza kushinda
Ukifirisika au kukosa cheo na thamani yako inakoma palepale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hivi ukiweka hapa mfano 075465xxx atakupatia wapi?
Kwanza unadhani akisha mwagwa kigamboni atakuwa na uwezo wa kufanya kitu? Sanasana akiwatibua wasela kitaa ataambulia makofi na akimpigia Mamboleo anamuuliza "umesema unaitwa Makonda? Wa wapi?"
Chadema wanamueka naniJimbo ni la Chadema hilo
HahahahahaNaona Bashite anakomaa awashiwe VAR
Wanahesabu kura mtani fumbufu zako[emoji38][emoji38][emoji38]Kuna Watu mnapoelekea sasa nitawajibuni ' Kunya ' mnikasirikie. Hivi kwanini ' mnanichanganya ' hivi? Kashinda Ndugulile au Makonda? Nijibu!!!!!