matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Source au wewe ndio unahesabu hapo mkuuNdugulile 188
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Source au wewe ndio unahesabu hapo mkuuNdugulile 188
Haya matokeo yanafundisha sanaWasanii mjifunze, acheni shobo na siasa, mpoki kapata kura-0
Kiukweli, ndungulile kashinda sababu aliyekua anapambana nae watu hawampendi ila ndungulile nae hajaitendea haki kigamboni, angekua na mtia nia mwingine wa maana angepigwa chini saa sita mchana...Daaa Kwa vitabu nilivyoona vya Dr Ndungulile Obvious kampiga za chembe Makonda.
Mbona hilp liko wazi?! Kule kwao hakuna wa kumuangushaJenista jamani khaaaaah amepita tena lol, mmmmmmmh
Daaa Kwa vitabu nilivyoona vya Dr Ndungulile Obvious kampiga za chembe Makonda.
Duh, GENTA hutaki mchezo kabisa kwenye swala hili. Mwenye namba yake ya simu anitumie ili nimtumie hii clip kwa WhatsApp awe anatazama na mkewe kama kumbukumbu ya kiburi chake.
View attachment 1511911
Kikubwa kapitwaYes Kampita ila kwa kura chache sana sio nyingi ni kama 10 hadi 20.
Aisee na mimi naongeza zangu tanoOngeza na zangu watano Mkuu.
Duh huyo kilaza nae kashinda?Moshi Mjini
Ibrahim Shayo =140
Priscus Tarimo =137
Dr Ngundulile kashinda! Nilivyoona vitabu vya Dr Ndungu hata sijahesabu nikajua Dogo anapigwa za Chembe.Ndugulile kura 180s
Makonda 120s
Ungetoa jibu ningekuelewa kuliko kuniuliza tena swali mkuu.We unasubiri hadi uone kwenye magazeti?
Watapewa Wizara ya Sala na TobaMakonda na gwajima baada ya kupigwa chini wataendelea na ule mkakati wa kikundi chao cha kikabila cha Kumtetea rais
Link wadau
Mpambano mlali sana sijui tutafurahi au tutanunaSaa itakuwaje