Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Kura zangu
IMG_20200720_165224_904.JPG
 
Wenye namba zao za Simu ( Members ) watakupa ili ' Uwalengeshe ' yawapate ya kuwapata ila kwa Mimi sikupi ng'o Mkuu kwani sitaki Kuuwawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hivi ukiweka hapa mfano 075465xxx atakupatia wapi?
Kwanza unadhani akisha mwagwa kigamboni atakuwa na uwezo wa kufanya kitu? Sanasana akiwatibua wasela kitaa ataambulia makofi na akimpigia Mamboleo anamuuliza "umesema unaitwa Makonda? Wa wapi?"
 
Hahaha wajumbe washamaliza kazi yao ya kupiga kura ila kuteua jina siyo kazi yao inategemea "mtu furani" ataamkaje.
Lakini ile Statement ilikuwa inawalenga sana waliocha madaraka yao; Kama ilisikilizwa kwa makini kabla ya hiyo Statement contextualy Alianza kuzungumzia tamaa za watu, ndio hiyo statemt hiyo ikaja. Labda mzee abadilike, lakini statement yake ililenga zaidi walioacha kazi ambazo muheshimiwa aliwaamini akawapa, na wao wakaamua kuacha.

Hivyo kama Kuna Aliyeacha kazi ya Kuteuliwa na Mh. Rais, na akashinda kura za maoni, huyo inabidi ajiangalie na ile kauli ya "Inategemea nimeamkaje"

Kama Hakushinda ndio Automatic kabisa
 
Hapana sio zali!
Alichuana na Abdullah Mwinyi mtoto wa rais mstaafu awamu ya pili, Mimi nafikiri Ndugulile alishishinda kwa mambo matatu;
1.kutetea mradi wa mjimpya Kigamboni...
Mimi ninaishi kigamboni, point ya 2 ndo naweza nikaikubali na hiyo 3 inawezekana sababu ni lazima ahonge.

Kiutendaji ndugulile hakuna kitu, mwaka 2015 isingekuwa nguvu ya chama ndugulile alikuwa anawekwa chini na CHADEMA.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hivi ukiweka hapa mfano 075465xxx atakupatia wapi?
Kwanza unadhani akisha mwagwa kigamboni atakuwa na uwezo wa kufanya kitu? Sanasana akiwatibua wasela kitaa ataambulia makofi na akimpigia Mamboleo anamuuliza "umesema unaitwa Makonda? Wa wapi?"
Ukifirisika au kukosa cheo na thamani yako inakoma palepale
 
Kuna Watu mnapoelekea sasa nitawajibuni ' Kunya ' mnikasirikie. Hivi kwanini ' mnanichanganya ' hivi? Kashinda Ndugulile au Makonda? Nijibu!!!!!
Wanahesabu kura mtani fumbufu zako[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom