Hili chotara bora limepigwaKuchunga mbusi kumewadiaView attachment 1511921
Wewe unaishi! Mimi mzaliwa wa Kigamboni kabisa tena ni jirani na kwao. Ila nakuunga mkono huyu Ndugulile sio mchapakazi kabisa, hana la maana alilolifanya Kigamboni.Mimi ninaishi kigamboni, point ya 2 ndo naweza nikaikubali na hiyo 3 inawezekana sababu ni lazima ahonge.
Kiutendaji ndugulile hakuna kitu, mwaka 2015 isingekuwa nguvu ya chama ndugulile alikuwa anawekwa chini na CHADEMA.
[emoji1787][emoji1787] Binadamu sisiYaan hapo wanachama wanacheza na kuimba lakin washajua nani kashinda na pesa wamekula
Mzuri sanaMayor Jacob
Hata Kigwangala alikuwa mshindi wa tatu lakini alichaguliwa!! Kwahiyo wapwa na wakulungwa wasishangilie kwanza.
Tangu matokeo yametangazwa hiyo kipara inatiririsha jasho non stop mpaka sasaKipara kimezidi kunyonyoka zaidi [emoji38][emoji38]
matokeo badoWasanii mjifunze, acheni shobo na siasa, mpoki kapata kura-0
Ndio Mkuu 2010.2010
Basi tenaNdugulile kura 220
Siasa mchezo mchafuYaan hapo wanachama wanacheza na kuimba lakin washajua nani kashinda na pesa wamekula