Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Mimi ninaishi kigamboni, point ya 2 ndo naweza nikaikubali na hiyo 3 inawezekana sababu ni lazima ahonge.

Kiutendaji ndugulile hakuna kitu, mwaka 2015 isingekuwa nguvu ya chama ndugulile alikuwa anawekwa chini na CHADEMA.
Wewe unaishi! Mimi mzaliwa wa Kigamboni kabisa tena ni jirani na kwao. Ila nakuunga mkono huyu Ndugulile sio mchapakazi kabisa, hana la maana alilolifanya Kigamboni.

Na sijui wanamchagua kwa maslahi gani? Mimi binafsi tukiachana na itikadi tukaongelea maendeleo ni bora tumpe MAKONDA
 
Ila CCM bwana..yaani mtu anakataliwa halafu mnawekewa huyohuyo kwenye uchaguzi..hiyo inaitwa msiyempenda kaja!
 
Sasa wajumbe wametulia vitini mwao kusikiliza matokeo Dr. Adungulile 190 , Paul Makonda 122 , Abubakar 37

 
Back
Top Bottom