Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Richar Paul maarufu Marcas ameomba Ridhaa ya kuwa Mbunge wa jimbo la Arusha mjini kutokana na utendaji kazi alioufanya katika jamii

Alisema alishawahi kufanya mambo malimbali ikiwemo uanzilishi wa kukusanya mapato ya maegesho ya nagari (parking )Mkoa wa Arusha mbali na kazi hiyo pia kazi ingine aliyoifanya ni pamoja na kushauri Twiga bank kuwa bank ya posta Mara baada ya kuona bank hiyo kuwa na matawi manne na kukusanya Madeni na baadae kuwa moja ya bank kubwa nchini

Pia alisema ni mkusanyaji wamadeni sugu mamlaka ya usimamizi wa bandari zote Tanzania pamoja na mdai ya madeni sugu ya wanafunzi wa chuo cha bandari

Alisema endapo hata chaguliwa kuwa Mbunge wa Arusha hatasaidia wakina mama wanao panga bithaa bara barani eneo la frence cona wanapata maeneo ya kufanyia biashara zao mahali salama zaidi

Katika Sera yake amehaidi ataongea na watu wa national housing pamoja na viongozi wa chama na serikali hili kupata jengo katikati ya mji hili aweze kujenga city market

Amewaomba wajumbe kumpa ridhaa kwani jimbo la Arusha linaitaji MTU mwenye maono kama ya kwakwe aweze kusaidiana na Mh John Pombe Magufuli kuendeleza Tanzania ya uchumi wa kati
IMG_20200720_140000_0.jpg
IMG_20200720_140501_4.jpg
 
Wazee wa ujiji ambao ni waislamu wanamzuia vip Prof Ndalichako asiweze kushinda kama sifa anazo ?
Ndalichako Hajazuiliwa; Yeye Mwenyewe amesoma Hulka za wazee wa Ujiji; Pale ni Obvious Utaratibu wao Huwa upo Kidini zaidi;
Kila Mahali kuna Siasa Zake, Mafano Arusha Majimbo ya Arumeru Magharibi, Arumeru Mashariki, Monduli Huku Siasa zinaenda Kiukoo; Kama Unatokea kwenye ukoo mkubwa basi ndivyo hatihati za kutoboa zinaongezeka.
Hivyo lazima Ufahamu siasa zinabase fulani fulani, Udini, Ukabila etc.
 
Habari za mchana huu kwa Atmosphere ya sehemu ambayo kura za maoni zinapigwa makonda paul anaenda kuchukua jimbo

Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ni Ngome ya makonda wapiga kura wengi ni wanafunzi wa serikali ya wanafunzi chuoni MASO

Sijui icho chuo ni cha chama cha mapinduzi CCM au hapo sijafahamu vizuri

mnaoshindana na makonda mjiandae kisaikolojia tu

Mpoki haufikishi kura ata 8
Hivi unajua ni namna gani hao wajumbe wa mkutano mkuu walivyopatikana 2017?
 
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.

Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi

Kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Magufuli waliochukua kugombea nafasi za Ubunge na uwakilishi ni 10,367. Waliokamilisha kujaza fomu na kurejesha ni 10,321.

Watanzania wataelekeza zaidi macho na masikio yao maeneo yenye upinzani mkali kama Kigamboni, Arusha mjini, Simanjiro, Kyela, Mbeya mjini, Mwibara, Misungwi, Same Mashariki, Tunduma, Tarime Vijijini na Ubungo ni baadhi ya maeneo yanayoangaliwa kwa jicho la tatu.

Ngoja tuone.

Up dates:

Jimbo la kinondoni jumla ya waliochukuwa fomu ni 81 na waliorejesha ni 79 ambao wanaendelea kujieleza .

Jimbo la Ubungo waliochukuwa fomu ni 113 na waliorejesha ni 111 na wanaendelea kujieleza, Mbarouk Masoud ambaye ni Katibu mwenezi anasema zege halilali.

Arusha mjini kuna watia nia 91 wanaoendelea kujieleza.

Jimbo la Lupembe mkoani Njombe watia nia 19 wanajieleza.

Abas Tarimba anaongoza kwa wingi wa kura za maoni Kinondoni akifuatiwa kwa ukaribu na IDD AZAN kura bado zinaendelea kuhesabiwa mubashara.
Mubashara luninga gani?
 
Iramba kura zilizopangwa na Uongozi wa CCM Wilaya

1. Eng. CC Mkali - 4
2. Dr. Mwigulu Nchemba - 27
3. Monica Yongolo --8
4. Lyanga Martin 3
5. Dr Timoth Lyanga - 13
6. Paulo Mkoma 2
7. Abdala Matanga - 3
8. Robert Jackson Makala - 5
9. Vicent Shomela - 3
10. Eng. Jumbe Katala 11
12. Mwl Noel Kingu - 4
13. Matahyo Samson - 9
14. Elia Mpesa 1
15.Elibariki Ndau 1
16. Paulina Makamba - 2
17. Adv. John W. Jacob - 16
18. Sadath Nkuku - 1
19. Herijema Nalaila - 6
20. Babu Khamis Bulali - 3
21. Amani Irunde 1

Dk. Mwigulu Chemba ✔️
 
Makonda chaliii, Gwajima chalii, Kigwangala oyee, Bashe chaliii, Mnyeti chalii, Gambo oyee, Sendeka chaliii,
 
Makonda atakumbana na baba yake

Maana ndio alisema.... kushinda maoni dodoma wanaamua upyaaaaaa

Ngoma inaishia jimboni, hakuna cha Dodoma... anatoka mmoja jimboni na ndo huyo huyo mgombea.
 
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.

Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi

Kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Magufuli waliochukua kugombea nafasi za Ubunge na uwakilishi ni 10,367. Waliokamilisha kujaza fomu na kurejesha ni 10,321.

Watanzania wataelekeza zaidi macho na masikio yao maeneo yenye upinzani mkali kama Kigamboni, Arusha mjini, Simanjiro, Kyela, Mbeya mjini, Mwibara, Misungwi, Same Mashariki, Tunduma, Tarime Vijijini na Ubungo ni baadhi ya maeneo yanayoangaliwa kwa jicho la tatu.

Ngoja tuone.

Up dates:

Jimbo la kinondoni jumla ya waliochukuwa fomu ni 81 na waliorejesha ni 79 ambao wanaendelea kujieleza .

Jimbo la Ubungo waliochukuwa fomu ni 113 na waliorejesha ni 111 na wanaendelea kujieleza, Mbarouk Masoud ambaye ni Katibu mwenezi anasema zege halilali.

Arusha mjini kuna watia nia 91 wanaoendelea kujieleza.

Jimbo la Lupembe mkoani Njombe watia nia 19 wanajieleza.

Abas Tarimba anaongoza kwa wingi wa kura za maoni Kinondoni akifuatiwa kwa ukaribu na IDD AZAN kura bado zinaendelea kuhesabiwa mubashara.
Abasi Mtaramba apita Kinondoni ..kura 171
 
Back
Top Bottom