Goodluck Mshana
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,272
- 1,120
CHADEMA imeanzishwa kwa ajili ya kutafuta pesa , ndio maana Dr. Slaa kapuku masikini akanyimwa kugombea urais akateuliwa tajiri Lowasa
Inaonekana Lissu hatajipigia kura sidhani kama alijiandikisha.... Usishangae akaambiwa hana sifa
Hakuna, Magufuli tena 2020/2025
Hahaha hahaha magufuli atazuiaa kampeni
Hizi kebehi haziwasaidii sanasana watanzania wanawaona wapumbavu tuu.Makamanda tutafute matambara, ndoo na sabuni za kupiga deki lami sasa. Wakati ndio huu tuliousubiri kwa hamu sana.
Tundu lissu ni chaguo sahihi la watanzania. Twende na TL kuukomboa UTU wa MTANZANIAAA!
Mm panapo health, huu mwaka ndo utakuwa first year kupiga kura kwa ajiri ya kumchagua mkombozi..Dah! Mungu wangu nisamehe nilishajiapiza kwamba sitofanya ujinga tena kwenda kupiga kura lakini sasa October narudi Nzega nimchague Lisuuu wetu!
Leo moyo wangu umepata kitu unapenda! ahsanteni wajumbe.
Msaada tutani:Kama sina kadi ya kupiga kura hadi leo ninaweza kufanya nini ili niipate?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pindi unaposikia usiyempenda kaja tena View attachment 1525537
Ok kila la kheri kwake vyovyote itakavyokuaKwani kwenye ubunge wa 2015 hakujipigia?
Tukutane oktoba.Hizi kebehi haziwasaidii sanasana watanzania wanawaona wapumbavu tuu.
Kwani hakujiandikisha 2015??? Acheni kuamisha magoli msiyempenda ndo huyo kaja. Jiandaeni tu kumkabidhi nchi kwa amani hapo October 2020Inaonekana Lissu hatajipigia kura sidhani kama alijiandikisha.... Usishangae akaambiwa hana sifa
Kunya boga upasuke msamba.Siyo breaking news kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119],hawa wanaleta utani na taasisi ya Urais,yaani hao "machekibobu" waongoze nchi!!...Chadema sanyingine wanachekesha Sana... hivi salum mwalimu ndiyo awe makamu wa rais kweli??
nayule madevu ndio awe rais zenji??? Msitutanie kimaudhi Sasa nyalandu na basilake mnampa "selasnakitu" siatarudi zake nyumbanil
Unachambua siasa hata katiba ya nchi huijui !!!!!Technical foul. CCM 1 - CDM 0. Lissu anakesi, zitafufuliwa pindi akirudisha fomu NEC. NEC haitamtambua na akifanya mzaha anafungwa mpaka uchaguzi upite.
Plan B, Kwakuwa mwenyekiti amesema Wana mazungumzo na ACT ya kuachiana nafasi, kwenye urais CDM wajoin forces na Membe, nyalandu awe mgombea mwenza. Otherwise CDM watapoteza mgombea wa urais saa moja tu asubui.