Hii combination striker pale barca ni messi, Suarez na griezmann. Aiseee wakoloni wanapigwa saa 2 asubuhiiOuiiiiiii,Aki umenichekesha wewe.Nikivuta cha Arushaa eeeh.Binafsi leo nimefurahi sana na ninapenda Membe amwachie Lissu,kule visiwani wamwachie Maalim.
😂😂HAYA! Ila Magufuli akizingua hata punje moja tu! Nasema moja tu! TUTASEMA NAYE KIUME!
Endelea kujipa matumaini.inaruhusiwaa hasa wakati kama huu.Member kwenda ACT Haikua baht mbaya naona kula zinazidi kugawanywa
Hata asipopiga campaign kura lazima apigiweHuyo Lisu hata kampeni hawezi kupiga, labda kama atapigiwa kampeni
Mnaenda nae wapi ?Piga chini Lissu. Tunaenda na Nyarandu
Njoo inbox BehaviouristMsaada tutani:Kama sina kadi ya kupiga kura hadi leo ninaweza kufanya nini ili niipate?
Huyo ndio atapiga kura za kumuwezesha Lisu kushinda?Amsterdam yupo kashika popcorn anatafuna taratibu huku akiwategemea mataga waingie anga zake, mbona the heague patachimbika
CDM wangetakiwa wamchukue huyo Mayrose kuwa mgombea mwenza kubalance gender kwahyo hawataki kura za wanawake. Kwanza wanaume wenyewe ni wasaliti wa Mambo mengi
Kila mwaka unajiandikisha upya?Inaonekana Lissu hatajipigia kura sidhani kama alijiandikisha.... Usishangae akaambiwa hana sifa
Litakua kosa la karne na itakua ni njia ya ukombozi katika nchi hiii.Technical foul. CCM 1 - CDM 0. Lissu anakesi, zitafufuliwa pindi akirudisha fomu NEC. NEC haitamtambua na akifanya mzaha anafungwa mpaka uchaguzi upite.
Plan B, Kwakuwa mwenyekiti amesema Wana mazungumzo na ACT ya kuachiana nafasi, kwenye urais CDM wajoin forces na Membe, nyalandu awe mgombea mwenza. Otherwise CDM watapoteza mgombea wa urais saa moja tu asubui.
Si wanateua mwanamke yoyote wa huko hii tabia ya kutokubalance Mambo itawa cost Sana ili kuonyesha wanaungwa mkono na watu woteAnatakiwa mgombea mwenza atokee zanzibar
Maneno ya kinywa Chako yawe bakora ya maisha yako.Dr slaa ni mwizi hana uadilifu wowote ule alinunuliwa kwa dola million 2 akaikimbia chadema na ukumbuke alipora mke wa mtu , dr mihogo kashenzi sana kale kazee, CCM wote wanamtaka nyalandu ili wamgalagaze wanajua ni dhaifu sana
Mzee usiogope kuhusu mfumo. Watanzania wataamua otherwise nchi hii itaingia katika machafuko yasiyo na mfanoSijui kwanini but ningependa zaidi kumuona Lissu bungeni akiibua hoja, haya mambo ya urais yatampoteza kisiasa kwa hii miaka mi 5 mpaka 2025 kwa maoni yangu.
Jamaa kichwa sana kwenye kuibua madudu ya serikali na kujenga hoja, Urais kuishinda CCM kwa mfumo wa siasa ulivyo Tanzania atajipotezea muda tu
Usijinyime haki... Mama samia alikuwa wa kawaida sana kipindi cha JK lkn leo ni makamu wa Rais. Majaliwa alikuwa naibu Waziri tu lkn Leo ni WAZIRI MKUUKwamba Salum Mwalimu ndo mgombea mwenza. Yaani ikitokea Lissu kapata changamoto ikapelekea yeye kushindwa kuongoza Salum Mwalim ndo anakuwa rais wa JMT[emoji3]. Mambo mengine yanachekesha sana
Amsterdam atalala na mtu wa Chattle akijichanganya.Amsterdam yupo kashika popcorn anatafuna taratibu huku akiwategemea mataga waingie anga zake, mbona the heague patachimbika