Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Magufuli amesema ukishindana na mwanamke lazima akushinde.
 
Kuunga juhudi
 
Huu uzi utawatokea puani ma analyst tunasubiri kupata data kisha tutawaambia uwezo wenu kabla ya Oktoba labda muufute au mu u discontinue...

Tafadhali wanaCCM walio na connection za kura za maoni majimboni anzisheni uzi tuwape majibu kabla ya kipimo...
 
Sio membe tu, walishindwa hata kuweka mamluki ajidai anamchallenge JPM wakihofia kuwa huyo mamluki atashinda
Hakuna aliyezuiwa kuchukua fomu, walona muziki wa Bulaya mzito wakaamua wenyewe. Nyie Membe mmemfurusha kutaka kugombea, shwaini!
 
Hakuna aliyezuiwa kuchukua fomu, walona muziki wa Bulaya mzito wakaamua wenyewe. Nyie Membe mmemfurusha kutaka kugombea, shwaini!

Hakuna aliyefukuzwa IT'S TAIMINNGI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…