Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Na wewe nani anakutafuna hapo Lumumba?Mgombea pekee kama JPM. Nae anagombea urais chakula cha mbunge wa kawe?
Hali ya Wasira sijui ikoje hadi sasaNaona Lumumba mko busy kufuatili haya matokeo, na nina amini hata mwenyekiti wenu nae atakuwa busy kufuatilia.
Wameonesha mfano bora wa uongozi hawa vijana. Mungu awabarikiKiukweli kina mama angalau msimamo upo, ukimwangalia ester matiko, ester bulaya na halima mdee kwa uchache.
Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa tiketi ya Chadema.
Jumla ya 128
Kura za Hapana 2
Kura za Ndio 126
Kura zilizoharibika Hakuna
Bulaya alikuwa ni mgombea pekee kama JPM
Maendeleo hayana vyama!
Wassira ameapa safari hii hatakubali kura zake ziibiwe!
Weka akiba ya manenoMifano ni mingi , James Millya , Joshua Nassari na Mwita Waitara wanawakilisha mamia ya waliojiuza .
Ndio.maana kadunguliwa,hawamjui kuleMrema akagombee Rombo kwanini anakuja mjini?
Achague ubunge au ukurugenziKura za maoni ni mchakato wa kidemokrasia , yeyote aweza kuteuliwa kati ya wawili wa juu , Mrema kutokana na kubanwa na majukumu ya Makao Makuu hakupata hata uchochoro wa kupiga kampeni , inashangaza hata hizo kura amepataje .
Erythrocyte amepata kura ngapi? Bila shaka atagombea kupitia JamiiForumsKyela kwa Mwakyembe
Mwalwange 142
Mwangasa 90
Nawewe ulibanwa Jf kyela wamekugaragazaKura za maoni ni mchakato wa kidemokrasia , yeyote aweza kuteuliwa kati ya wawili wa juu , Mrema kutokana na kubanwa na majukumu ya Makao Makuu hakupata hata uchochoro wa kupiga kampeni , inashangaza hata hizo kura amepataje .
inaonesha siyo waoga wa kupambana na changamoto za saaa kuliko wanaume waunga juhudi kwa vipande vya fedhaWanawake wanaonekana mstari wa mbele huko