Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Ila kwenye hao killed huenda wameficha ili familia zao zisisumbuliwe
Kawaida mbona baadhi ya vifo vichache vya wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine havitajwi kuepuka kulipa fidia nyingi. Wakiona hoehae wanatupa uko hujulikani ulienda wapi. Mtoto wa maskini umetoka Tula vijijini uko mpakani familia yako itaandamana saa ngapi.

Ila private jet ni ya Prigozhin ingawa hakuna confirmation kutoka serikalini kwamba alikuwemo, kilichotajwa ni kwamba kwenye passengers list yupo. Labda kuna muujiza alisitisha safari kabla dakika za mwisho.
 
Sidhani kama wataruhusu ADs ifanye kazi afu hayumo, akipona maana yake ni vita rasmi.

Nina amini amekufa maana FSB tayari wamesema kuwa ni ugaidi umefanyika
 
Back
Top Bottom