Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Ni Yevgeny Prigozhin amabaye ni mmiliki na muanzilishi wa lile kundi la askari mamluki wa kirusi wanaosumbua huko Ukraine na hapa west Africa.

Amefariki baada ya ndege yake kuanguka ikiwa safarini kutoka Moscow kuelekea St Petersburg.

Askari wake mamluki wamesambaa huko Mali, Niger na Burkinafaso.

Na hata sasa wanahusika na Mapinduzi ya kijeshi huko Niger na ndio hasa tegemeo la viongozi wa Mapinduzi Wa Niger dhidi ya vikosi vya ECOWAS ambavyo vinaandaliwa ili kwenda kuiondoa serikali ya kijeshi na kurudisha utawala wa kiraia uliopinduliwa.

Source: Aljazeera english broadcasting chanel.
 
Ukute ni West,wanahusika,ili watandaze mbarati vizuri Ukraine na Niger
 
Ukute ni West,wanahusika,ili watandaze mbarati vizuri Ukraine na Niger

Kwa namna yoyote, wapinzani wa Putin kunzia leo wataanza kumuwinda kwa nguvu sana, pengine Putin anaweza kufariki kabla ya vita kuisha.

Hata mtu aliyepanga mauaji ya Putin anaweza kutumia hii chance akasema ni mtandao wa Prighozin serikalini
 
Kwa Video za ndege hii ikianguka, na ukubwa wa moto , likely Bomu lilikua limeshategeshwa au imedunguliwa .
Hapo awali, kituo cha Telegram kilichounganishwa na Wagner, Gray Zone kiliripoti kwamba ndege hiyo ilidunguliwa na walinzi wa anga katika mkoa wa Tver, kaskazini mwa Moscow.

Prigozhin aliongoza maasi yaliyoshindwa dhidi ya vikosi vya jeshi la Urusi mnamo Juni.

Kwa habari zaidi endelea kufuatilia Mwananchi na mitandao yake.
 
Either mimi ni Mjinga sana.......au watu wengi duniani ni wajinga.
Cant see Ukweli ukifichwa kidogo tu.
Prizoghin ni Mzima ( naamini hivi), psyop nyingine kama ile " Coup".
😂😂😂😂😂😂, nini shida ndugu
 
Kigogo mmoja anaehatarisha maisha ya wengi lazima afe haijalishi ni nani

Ili hawa walio wengi waendelee kuishi

R.I.P
 
Mmiliki wa kundi la "Wagner Group"kundi la askari mamluki wa ki-Russia.

Ambalo limejikita huko Ukraine likipigana bega kwa bega na askari wa Urusi.

Lakini pia liko huko Afrika magharibi katika nchi za Libya,Mali,Burkinafaso na Niger.

Amefariki baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kutoka Moscow akielekea mji wa St Petersburg huko Urusi kutunguliwa na kuanguka kisha kulipuka.

Ndani ya hiyo ndege pia kulikuwa na mmiliki mwenza wa Wagner Dimitri Udin ambao wote wameripotiwa kufariki.

Source: Aljazeera English Channel.
 
Either mimi ni Mjinga sana.......au watu wengi duniani ni wajinga.
Cant see Ukweli ukifichwa kidogo tu.
Prizoghin ni Mzima ( naamini hivi), psyop nyingine kama ile " Coup".
Mkuu, jamaa amekufa.

Hiyo ndege ilikuwa ni ndege binafsi na imeanguka kaskazini mwa Moscow.

Kama Tass na channels zingine zilizo na links na Kremlin zimesema Prigozhin alikuwa kwenye orodha ya abiria basi habari hii kweli.
 
Mmiliki wa kundi la "Wagner Group"kundi la askari mamluki wa ki-Russia.
Ambalo limejikita huko Ukraine likipigana bega kwa bega na askari wa Urusi.
Lakini pia liko huko Afrika magharibi katika nchi za Libya,Mali,Burkinafaso na Niger.
Amefariki baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kutoka Moscow akielekea mji wa St Petersburg huko Urus.

Tulia uandike vzr
 
Either mimi ni Mjinga sana.......au watu wengi duniani ni wajinga.
Cant see Ukweli ukifichwa kidogo tu.
Prizoghin ni Mzima ( naamini hivi), psyop nyingine kama ile " Coup".
Mimi si mshabiki wa haya mambo lakini nakataa jamaa hajapanda mwili hiyo ndege unless watuoneshe mwili wake angalau hata na mazishi yake fake angalau naweza kuamini japo kwa asilimia 15.
 
Mkuu, jamaa amekufa.

Hiyo ndege ilikuwa ni ndege binafsi na imeanguka kaskazini mwa Moscow.

Kama Tass na channels zingine zilizo na links na Kremlin zimesema Prigozhin alikuwa kwenye orodha ya abiria basi habari hii kweli.
Alikuwa anakwenda wapi?
 
Back
Top Bottom