Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu kabla hujazaliwa.Tangu lini CIA wakafanya kazi au kushirikiana na FSB..?
Uongo wa kwenye kahawa huoTangu kabla hujazaliwa.
Hiyo ni homework nakupatia ukaifanyie kazi.Uongo wa kwenye kahawa huo
Bado taarifa ni mbichi ila nimeiona karibu mashirika yote makubwa ya habari yameriport habari hiyo.Uhakika wa taarifa 🤔
Inauma sana. RIP Prigozhin. Yaani huyu mtu amefariki kabla ya kuja Tanzania? Nani atatusaidia kupigana na wauzaji wa nchi kwa waarabu?Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege
Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndeg...
Ukute ni West,wanahusika,ili watandaze mbarati vizuri Ukraine na Niger
Hapo awali, kituo cha Telegram kilichounganishwa na Wagner, Gray Zone kiliripoti kwamba ndege hiyo ilidunguliwa na walinzi wa anga katika mkoa wa Tver, kaskazini mwa Moscow.Kwa Video za ndege hii ikianguka, na ukubwa wa moto , likely Bomu lilikua limeshategeshwa au imedunguliwa .
Ni FSB, jina la KGB ni la zamani enzi za Mwalimu.Ndo hivyo KGB imefanya kazi yake
😂😂😂😂😂😂, nini shida nduguEither mimi ni Mjinga sana.......au watu wengi duniani ni wajinga.
Cant see Ukweli ukifichwa kidogo tu.
Prizoghin ni Mzima ( naamini hivi), psyop nyingine kama ile " Coup".
Mkuu, jamaa amekufa.Either mimi ni Mjinga sana.......au watu wengi duniani ni wajinga.
Cant see Ukweli ukifichwa kidogo tu.
Prizoghin ni Mzima ( naamini hivi), psyop nyingine kama ile " Coup".
Mmiliki wa kundi la "Wagner Group"kundi la askari mamluki wa ki-Russia.
Ambalo limejikita huko Ukraine likipigana bega kwa bega na askari wa Urusi.
Lakini pia liko huko Afrika magharibi katika nchi za Libya,Mali,Burkinafaso na Niger.
Amefariki baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kutoka Moscow akielekea mji wa St Petersburg huko Urus.
Mimi si mshabiki wa haya mambo lakini nakataa jamaa hajapanda mwili hiyo ndege unless watuoneshe mwili wake angalau hata na mazishi yake fake angalau naweza kuamini japo kwa asilimia 15.Either mimi ni Mjinga sana.......au watu wengi duniani ni wajinga.
Cant see Ukweli ukifichwa kidogo tu.
Prizoghin ni Mzima ( naamini hivi), psyop nyingine kama ile " Coup".
Alikuwa anakwenda wapi?Mkuu, jamaa amekufa.
Hiyo ndege ilikuwa ni ndege binafsi na imeanguka kaskazini mwa Moscow.
Kama Tass na channels zingine zilizo na links na Kremlin zimesema Prigozhin alikuwa kwenye orodha ya abiria basi habari hii kweli.