Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia


..sio sawa mauaji yafanywe na Polisi na Usalama halafu lawama uwatupie wanaharakati.

..kilichotokea ni unyama uliochanganyika na uzembe kwa upande wa vyombo vya dola.

..tangu vita vya Maji Maji hakujawahi kutokea mauaji makubwa yaliyofanya na vyombo vya dola kama OCT 29.
 
Kuna kitu kinaitwa "Original plan"" kuingiza Rais ambaye hajawahi kugombea"

Mama alipaswa kushika kwa muda TU kipindi kile,lakini kwa kua alionyesha ana Nia ya dhati ya kufuata maelekezo ya "the state" yapo kwenye Uzi wa "operation imesitishwa the state wamesema apewe muda"

Sasa alipopewa nafasi hakufuata maelekezo Yale "katiba ni kijikaratasi" ndipo plan ya mwanzo ilibidi itekelezwe!

Utekelezaji wake ndio huo "Desert mission, operation PJLK!mpango wenyewe ukawa "No REFORM NO ELECTION, mission nchi kavu ambayo ni Tanganyika!

Lengo lilikua kumtia hatiani kwa mauaji na kuleta dosari kwenye uongozi wake kama ilivyo sasa mtego wa ICC!

Script ikachezwa na upinzani Plus iner cycle ya ccm wazalendo plus mataifa ya makubwa ya nje yaani "usa, Europe Israel via CIA,MOSSAD,M16 n.k ndio maana Thabit kombo anasema "vurugu za uchaguzi zilianzia nje ya nchi ndio zikaja ndani"

Kifupi Hali IPO hivyo!

Na sasa tupo karibu na kilele!

Uchaguzi wa 2025 haaukua vita vya ccm na upinzani bali mataifa makubwa USA,EUROP,ISRAEL VS FALME ZA KIARABU, RUSSIA,CHINA N.K kwenye rasilimali za nchi hii

Nawaza na kuwazua kutokana na Duru jamvini na yanayoendelea!!
 
Minong'ono kuhusu biashara ya silaha na Mexican cartels inazidi kubamba na kufungua watu macho.

Endapo maafisa wa JWTZ na Wizara ya Ulinzi wamehusika na "purchase order & delivery order" ya silaha hizo kabla ya kuangukia mikononi mwa wana usalama wa Marekani, hakika kitawalamba na kulazimika kutaja vigogo na familia maarifu zinazohusika na kashfa.

Unyeti wa wizara unaweza kusababisha mtu atafutiwe sababu ya kukaa pembeni na kukiachia kiti. Kumbe kuondolewa kwa Nchimbi kulighubikwa na mazongezonge mengi.
 
siku zote mauaji yanafanywa na mtu aliyeshika silaha , sasa sijui kama wanaharakati walishika silaha siku hiyo

1. kesi ya kwanza walioshika silaha na kufanya mauji
2.kesi ya pili waliosababisha mauji
 
tatizo lake wewe unaandika mafumbo mwishowe hayo mafumbo hugeuka ngonjera, lakini Mange yeye ananyoka kama rura na humwaga mchele hadharani kwa hiyo inakuwa rahisi kupembua kati ya mchele na pumba, punguza mafumbo bana.
imarisha uwezo wako wa kufikiri, yale mafumbo yanaeleweka sana

unapenda sana spoon feeding
 
Wanaza kifuture zaidj, tunapumbazwa na miss gryoko nuoko awarda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…