Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

Kwa ile issue ya wabongo hayakuwa maandamano But ilikua ni kweli wabongo walikuwa wanabugudhiwa...
 
Asante mkuu na pole kwa kutoa la moyoni, Nchimbi alituaga bila sisi kujua kama anatuaga japo tetesi za kuondoka zilikuja humu baada ya kutuasa tutadai katiba mpya. La sasa limeongelewa na dada wa taifa, huyu dada akileta yeyote taarifa inafika mpaka vijiji vya ndanindani huko... Na ninavyowajua hawatakubali kupitia njia ambayo Mange ameshaifunua kwa wananchi.
Kama unakumbuka kwenye tume iliyopita kuna mengi yalianza kusemwa wazi na nia yao iliwekwa wazi juu ya CHADEMA, tuliona waliamua kukaa kimya.
Kwenye hili wakijaribu kuziba masikio na kufanya kama inavyosemwa watakuwa wamempa credit nyingi sana dada wa taifa.
 
shida zote hizi zinaletwa na kichwa kimoja tu.... mungu wa maafa naye kagoma kutubariki ili mambo yawe gombania goli...
 
Kinachowaangusha Maria na Hilda ni kwamba hawafanyi verification and Due Diligence ya taarifa wanazopewa sometime wanalishwa "KASA aka MATANGO PORI" na watu wa mifumo ili kuwaondolea credibility.
Usidanganyike hawa wanajua wanachofanya na wananchi wanawachukulia walivyo, zipo taarifa zinakuwa za kweli na zingine ni propoganda za kisiasa, ndio maana unaona follows wanaongezeka kila siku kwao kitu ambacho kimekuwa kigumu kwa machawa wengine
 
Panapokuwa na uminywaji wa haki, mjinga ni yule anayechagua kukaa kimya.
 
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa🥺🤔🙇🏿‍♂
Unajaribu kuwaza kama mimi, je watakubali tupate msiba mwingine? Si itakuwa ni aibu kwa nchi kupoteza wakuu wawili? Najaribu kuwaza, huenda akafika wakati akasema siwezi tena kutokana na hili na hili....
 
Kwangu inawezekana ,yule mtu hana chembe ya aibu (maslahi yake mbele mambo mengine baadae)

100%✓
 
Shida yako wewe habari unazileta kimafumbo

Mi ndio maana nakuita mzee wa homework britanicca

Wewe ukileta habari nyooka
Badala ya kutuachia homework
Hebu fikiri upo jikoni unajua kila kitu kinachoendelea, labda mpo 3, alafu taarifa inaonekana humu imenyooka kama ilivyo jikoni, hapo si mtaanza kukamatana wenyewe? Wakati mwingine acha ije kwa namna mletaji anavyoona inafaa kwake.
 
Haya kazi kwake
 
Kwangu inawezekana ,yule mtu hana chembe ya aibu (maslahi yake mbele mambo mengine baadae)

100%✓
Inawezekana ni kweli hana aibu, kumbuka pia anajaribu kumkwepa dada wa taifa na wenzake hawatakubali waanikwe wazi
 
Nilivyoelewa anasema kile alisema nyuma ndicho alichokisema Mange, na ametusaidia kuelewa alichosema Mange ni sahihi.
 
haya mambo ya kupenda vitu laini laini ndo yametufikisha hapa hadi kumwona bashite anafaa
 
Kabisa mkuu nakumbuka nyuzi zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…