Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

Alaaa kumbe haya ndio maandamano........🤔🤔🤔
 
Ni baadhi ya Watanzania tena wachache siyo Watanzania wanaoishi Marekani. Weka usahihi wa taarifa yako. Si umesema wengine walikuwa ndani Rais akiwahutubia! Ni haki yao ila . muhimu ni; mambo ya Tanzania yataamuliwa Tanzania siyo Washington wala 10 Downing street.🙏🙏🙏
 
wewe ni darasa la saba.... mabadiriko hayaletwi na proletariats, yanaletwa na a few elite ones who can integrate issues affecting their life
Hao machoraa wa USA ndo elites?
 
wametumia Haki yao ya Uhuru wa kutoa maoni yao.
ila hakuna jambo jipya ambalo Rais halijui, lishatolea uffanuzi hivyo kwa sasa kipau mbele ni kuimarisha uchumi wa nchi

Kupanga ni kuchagua..........tumechagua kuanza na Kuimarisha Uchumi kisha suala la katiba mpya litafuata.
 
big deal ni ujumbe
...mkubwa sana.

Biden siyo mjinga kutokumpa Hangaya jesha ya kuonana nae.


ni namna nyingine ya kuionesha dunia kuwa pamoja na watawala wa tanzania kujinasibu wameimarisha demokrasia na utawala wa sheria bado kunaibua maswali mengi kwanini watanzania hawahawa wakiwa nyumbani hawawezi kuandamana na kueleza hizia zao kwa uhuru lakini wakiwa ughaibuni wanaweza? ni kwa sababu ya utawala wa mabavu na vitisho huko nyumbani. kwa maana nyingine viongozi wetu wakiwa katika majukwaa ya nje wanaongea uongo kwenye jumuia ya kimataifa.

anaesema maandamano haya hayana maana hawazi sawasawa.
 
Mungu wabariki Wazungu
 
Akili yako mbovu sana. Ni bora watu wasijibizane na wewe. Labda upongezane na johnthebaptist
 
Safi sn ujumbe umefika
 
Wewe ndio hamnazo yani mtu anayeomba haki ya mpendwa wake aliyepotea unamwita hamnazo jinga kabisa wewe. Ninani asietaka kumuona Ben sanane na Azory Gwanda wakiwa hai?
Hayo ni yale majinga yamejificha ndani ya CCM
 
salamu kwa watanzania wenzetu huko USA.
Demokrasia Katika ubora wake
 
Angalau mama akutane na changamoto kidogo pengine atarudi nyumbani sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…