Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

Ili watu wasio na uelewa kama wewe uelewe kuwa foreign reserve ya Tanzania ni Usd bil 6.253. Hivyo kiongozi kukosea na kusema ni Usd mil 6253 sio ishu ya kushupaza shingo mpaka mnajamba

Hiyo mamlaka ya kuelewesha umma umeipata wapi? Wakosee ikulu halafu wewe uje kuelimisha umma tena kwa kuleta bandiko la zitto? Si maajabu haya?

Unasema haujadili B na M huku unazitaja kwenye post yako.

Sijaelewa tafsiri ya kujadili kwako inamaanisha nini ila ile tu bado unajibishana na watu hapa ndio kujadili kwenyewe.

Tuliza kichwa
 
Ameachia replies huko ulikotoa huu utetezi? Lakini kwa sasa yeye sio kiongozi wa mijadala tena kama zamani. Sasa hivi yeye nguvu yake ya ushawishi imeisha, kwa bahati mbaya chama chake kimebeba taswira yake ya undumilakuwili.
Una maana gani?
 
Unavaa miwani myeusi usiku kwenye ukumbi wa disco?Are you ok upstairs?
Ili watu wasio na uelewa kama wewe uelewe kuwa foreign reserve ya Tanzania ni Usd bil 6.253. Hivyo kiongozi kukosea na kusema ni Usd mil 6253 sio ishu ya kushupaza shingo mpaka mnajamba
Umeshaandika "kukosea"!Nasi tunajua kakosea.Mbona hawatoki hadharani kusahihisha?Hapo tu.
 
Hiyo mamlaka ya kuelewesha umma umeipata wapi? Wakosee ikulu halafu wewe uje kuelimisha umma tena kwa kuleta bandiko la zitto? Si maajabu haya?

Unasema haujadili B na M huku unazitaja kwenye post yako.

Sijaelewa tafsiri ya kujadili kwako inamaanisha nini ila ile tu bado unajibishana na watu hapa ndio kujadili kwenyewe.

Tuliza kichwa
Mbona unashupaza shingo kwa jambo ambalo lipo wazi?
 
Lipo wazi ungejitia kuelimisha watu?

Acha mamlaka husika zina andaa utaratibu wa kurekebisha makosa zikamilishe kazi yao.
 
Hii nchi ngumu sana, mtu anakataza watu kujadili kitu ambacho yeye mwenyewe anakijadili.

Hadi anaandika haya si inamaana na yeye yumo kwenye hao anaowaita wamekosa kazi?

By the way who is Zitto aamulie watu nini cha kujadili na kipi sio cha kujadili?
Unaitisha mkutano kukataza watu wasikusanyane eti kuna korona
 
Lipo wazi ungejitia kuelimisha watu?

Acha mamlaka husika zina andaa utaratibu wa kurekebisha makosa zikamilishe kazi yao.
Ahaaa, kwa sababu zipi na foreign reserve inajulikana ni Usd bil 6.253.
 
Kukosea kutamka kwa bahati mbaya😎
Kakosea kwa bahati mbaya,sawa.Sasa weye na Zitto kwa nini mnasema tunabisha kitu cha kweli?Kwani kumkumbusha mtu kakosea ni dhambi?Mpaka tubishane utadhani tunagombea nini sijui!
 
Wewe ni mjinga sana. Unajua kabisa ishu ni Usd bil 6.253 lakini sababu aliteleza kutamka unataka uoneshe kuwa alipotosha. Mpumbavu sana wewe.
 
Ahaaa, kwa sababu zipi na foreign reserve inajulikana ni Usd bil 6.253.
Kama inajulikana hivyo, kulikua na haja gani kuiweka kwenye taarifa ya Rais kwa wananchi? Na ndivyo ilivyosemwa? Hii figure unanukuu taarifa ya mheshimiwa au vyanzo gani?
 
We umeishia darasa la ngapi kwanza?
 
Back
Top Bottom