Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
CCM mwaka huu ni nyepesikama pambaKwani tofauti ya Zitto ,Membe na Maalim Seif Ni Nini?
Lisu karibu kwenye mdomo wa mamba tukutane October 28 Zimebaki siku Tisa za kampeni no reverse gear for Chadema
Too late
Nileteeeni Gwaaajimaaaaaaaaaaaaaa..Wala hatuja sema msumbuke nyie tulieni tu ,mnatoa kauli za kishujaa huku mnapiga Magoti kwa Wananchi.Nyie ni Watu wabaya sana ,mnang'ata huku mnapuliza huo sio unafiki ni nini basi.
Anza kuandaa daktari wako wa pressure kabisa usije kuanguka na kufa kwa pressure bure hutaamini kinachoenda tokea October 28 watanzania tutaishangaza dunia part twoCCM mwaka huu ni nyepesikama pamba
Nafikiri Huyo alishajitoa Ila kimkakati chama kilimuacha ili kukwepa mtego wa NEC.Vipi kuhusu mgombea wa chama chako Kachero Mbobezi Bernard Membe?
Tusubiri tarehe 28 maneno mengi yaniniAnza kuandaa daktari wako wa pressure kabisa usije kuanguka na kufa kwa pressure bure hutaamini kinachoenda tokea October 28 watanzania tutaishangaza dunia part two
Part one ilikuwa 2015 wakajitia kuziba masikio wajiandae part two 2020
Nina akili timamu nitampigia kura Tundu LissuKama unaakili timamu lazima umpigie kura Tundu Lissu
Watanzania mnashida hivi mnachagua mtu au sera, ameshasema amevutiwa na sera za Lissu wewe uko huruMwami kasema,sasa wengne tufanyaje sasa
Mie sijanufaika maana Mshahara haujapandishwa.. Shenzi zao wanaotufanya tufanye usaliti Tar 28Tunajua ni wanufaika wa Dola hii lakini Safari hii Kitumbua kitaingia Mchanga.
Bora nyie wenye akili tumamu.Km unaakili tumamu lazima umpigie kura Tundu Lissu
Poa ila we we ID yako imekuwa active sana baada ya Lisu kupewa ugombea mko wengi najua baada ya Lisu kushindwa mtatokomea gizani kwa shetani na Multiple ID zenuTusubiri tarehe 28 maneno mengi yanini
Kimekuwa chama cha wapuuzi sanaACT mmevurugwa