Baada ya ukimya wa muda mrefu na msimamo wa kutoshiriki uchaguzi bila marekebisho ya kisiasa, hatimaye mwanasiasa John Heche ameonesha mwelekeo mpya. Kupitia mahojiano maalum, Heche amekiri kuwa harakati za “No Reform No Election” zimepoteza mwelekeo na hazina maana tena katika hali ya sasa ya kisiasa.
Amesema yuko tayari kushiriki uchaguzi ujao, akisisitiza kuwa ni muhimu kujipanga ndani ya mfumo uliopo ili kuleta mabadiliko ya kweli.
🎧 Sikiliza mahojiano kamili hapa