Nimepita katika eneo la Mabibo Sokoni, ambako awali kuliripotiwa kuwepo kwa mitaro iliyokuwa imejaa majitaka na kuziba kutokana na mrundikano wa taka. Katika kufuatilia nimebaini kuwa wahusika...
MABORESHO NA NJIA MPYA ZA MABASI YA MJINI (DALADALA) KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM
Dar es Salaam 20 Oktoba, 2026
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) katika hatua ya kuboresha upatikanaji...
Julai 15, 2026, Mdau aliandika hoja kuhusu miundombinu ya Kituo cha Segerea kinachohudumia daladala za maeneo mbalimbali kuwa ina hali mbaya, alieleza kuwa imeharibika na kwamba hiyo haikuwa mara...
Oktoba 15, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Barabara ya Kimara Korogwe - Majichumvi bomba linavunja mwezi mzima sasa bila maboresho”
Pia soma ~ Barabara ya Kimara Korogwe - Majichumvi...
Ikiwa ni siku ya pili baada ya kueleza hali ya mitaro katika eneo la Sinza Mori, Dar es Salaam, nimepita eneo hilo nimeona jitihada zimefanyika za kusafisha na kuzibua mitaro katika maeneo...
Oktoba 7, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Maji taka Mtaa wa 10, Kata ya Ngamiani - Tanga yanahatarisha usalama wa afya, kero hiyo imedumu kwa zaidi ya wiki moja sasa, licha ya kuwa...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma kuwa, tatizo la kimtandao lililosababisha kukosekana kwa huduma zetu za mtandaoni limetatuliwa...
Ahsante kwa kutoa taarifa ile, imetusaidia kwa kiasi fulani, Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Wilaya ya Momba – Tunduma tumeanza kupe stahiki zetu.
Mfano wapo waliokuwa wanadai malipo ya miezi...
Tunashukuru kwa kulipazia sauti suala la Jengo la RITA Tower lililopo hapa Dar es Salaam, ambalo lilikuwa na changamoto ya sinki za kunawia kwenye vyoo kung'olewa na kutopatikana kwa huduma hiyo...
Katika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT...
Julai 10, 2026, Mdau aliandika kupitia JamiiForums.com kuwa ni vema ujenzi wa daraja lililopo Kimara Mwisho ukamaliziwa kwa kuwa ni hatarishi kwa watumiaji kutokana na kukosa kingo za pembeni...
Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa JamiiForums kwa kutupa nafasi ya kuwasilisha changamoto iliyokuwa inawakabili wanafunzi wa Diploma March Intake 2025/2026 – CBE Mwanza, kuhusu matokeo...
Baada ya Mwananchi kuwasilisha hoja Mtandaoni kuhusu tatizo la maji kutitirika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
DIRISHA KUWA WAZI HADI SEPT 18 KWA WANAOKAMILISHA MAOMBI
Tunawajulisha waombaji na umma kwa ujumla kwamba, baada ya kuongeza siku 14 za kukamilisha maombi ya mikopo, zimejitokeza changamoto...
Tunashukuru kwa kutupazia sauti Mawakala wa Mabasi hapa Mkoani Dodoma tumefunguliwa ofisi zetu, uamuzi huo ulifanyika muda mfupi baada ya taarifa yetu kusambaa Mtandaoni, wakatufungulia jana jioni...
Mbezi Stendi ya Malamba, Darajani, jengo la Abiria Stendi ya Magufuli na Gereji yake kunanuka mikojo
Nimepita Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho, nikitokea Kinyerezi, nimeshuka Stendi ya...
Halmashauri ya Msalala wilaya ya Kahama tumelipwa posho ya kujikimu kwa 100%.
Tunashukuru viongozi wa Halmashauri na OWM-TAMISEMI kufanikisha hili.
Kazi iendelee!
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema changamoto ya maji taka kusambaa katika Mitaa ya Tandamti / Mkunguni / Sikukuu/ Congo maeneo ya Kariakoo imefanyiwa kazi...
Kaya 67 zinazoishi kwenye eneo la maarufu la Maisha Plus la Kitongoji cha Bago, Kijiji cha Msakangoto na Kata ya Kigombe Wilayani Muheza wamekubali kulihama eneo hilo, kumpisha mwekezaji wake...
Nilijisajili na NSSF Mwaka 2017 wakati naanza chuo, wasajili walikosea tarehe yangu ya kuzaliwa, nimekuja kugundua na kuanza utaratibu wa kuomba kubadilishiwa ni baada ya kupata ajira Mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.