afrika

  1. JamiiForums Tanzania Madhara yake ni mfano tosha tu south afrika waliotengeneza makaburu wakati wakiwa madarakani kwa wananchi wake.

    Tunapo kemea na kutaka sheria na haki kufatwa linaonekana jambo la wapinzani na si la wangine. Mambo yanayotengenezwa na kuwa na baraka kama utekaji,ufisadi,uchawa,unyamazishaji,ubabe,kejeli na n.k ndio yalifanywa south afrika ili watawala wabaki kwa njia yoyote japo walitoka. Historia ya...
  2. JamiiForums Tanzania Afrika na adhabu ya kifo

  3. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Afrika Kusini waanzisha msako baada ya watu 17 kuuawa katika shambulio la risasi klabuni

    Polisi nchini Afrika Kusini walisema siku ya Jumapili Septemba 27, 2026 kuwa wameanzisha msako mkali baada ya watu 17 kuuawa katika shambulio la risasi usiku wa Jumamosi Septemba 26, 2026 kwenye kilabu cha pombe (tavern) katika mtaa wa Wedela, kusini magharibi mwa Johannesburg. Huduma za...
  4. JamiiForums Tanzania Silaha ya Kisaikolojia: Jinsi Plato, Nyerere na Brass Bands za Majeshi ya Afrika Zinavyotumia Muziki Kulinda na Kuendesha Dola

    Wakuu, jioni ya leo mtanisamehe kwa kuandika uzi mrefu kidogo, lakini naamini utakuwa na manufaa makubwa kwa wale wanaopenda kufuatilia jinsi mifumo ya madaraka (State Machineries) inavyofanya kazi nyuma ya pazia.Mara nyingi tukifikiria kuhusu "Zana za Kuendesha Dola," vichwa vyetu vinakimbilia...
  5. JamiiForums Tanzania Unafahamu katikati ya wewe na kitu unachokiona kuna nafasi (space) na nafasi hiyo ikiondolewa hutaona?

    Nafasi iliyopo kati ya unachokiona na na kitu chenyewe ndipo mchezo wa kiumbaji na upotoshaji wote unapofanyikia. Katikati ya maisha yako na matokeo unayoyaona katika maisha yako kuna nafasi. Hali ingekuwaje kama nafasi hiyo isingekuwepo kabisa, yaani wewe na unachokiona mnakuwa mmeshikamana...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza dhamira ya Afrika kutokomeza vifo vya mama na mtoto

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa uongozi wake mahiri katika kusukuma mbele ajenda ya Afrika ya kutokomeza vifo vinavyoweza kuzuilika vya mama na mtoto, huku bara hilo likikabiliwa na karibu asilimia 70 ya vifo vya akina mama duniani na takribani...
  7. JamiiForums Tanzania Afrika inachekesha sana, mtu anamcheka mwenzake kumuita Yesu mwana wa Mungu alafu yeye anachangisha hela aende akabusu jiwe

    Jitathmini watu weusi Afrika inachekesha sana, mtu anamcheka mwenzake kumuita Yesu mwana wa Mungu alafu yeye anachangisha hela aende akabusu jiwe
  8. JamiiForums Tanzania Nchi 22 za Afrika zakutana Tanzania kubadilishana uzoefu wa Mtaala unaozingatia umahiri – Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema nchi 22 za Afrika zimekutana nchini katika Mkutano wa Sita wa Jumuiya ya Taasisi za Mitaala Afrika kwa ajili ya kubadilishana uzoefu kuhusu namna mabadiliko ya mitaala...
  9. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika bila mapinduzi msitegemee democracy mpaka mwisho wa duniani

    Ukizoea vya kunyonga uwezi vya kuchinja. Hakuna muovu anaweza kunyanyua mikono juu kisha kukubari haki na sheria zitendeke. Ingekuwa mnaweza kupata nafasi hata koridoni na kusikiliza maongezi yao hawa watawala basi mkitoka hapo mtaweza kukubari utawala wa democracy ambao wanajisifu nao. Hata...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza Ajenda ya Afya ya Uzazi Afrika UNGA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kinara wa Umoja wa Afrika wa Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwaongoza Viongozi wakuu wa nchi Barani Afrika na Wadau wa Maendeleo kujadili na kuhamasisha uwekezaji katika afya ya uzazi, mama, mtoto...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Nigeria amsimamisha Rais William Ruto New York, amshukuru kwa hatua zake kwa Afrika

    Rais William Ruto akiwa New York, Marekani, alipata wakati wa kukutana na mwanamke kutoka Nigeria aliyemkaribia na kumshukuru kwa kile alichosema ni mchango wake kwa Afrika. Katika video hiyo, mwanamke huyo anamwambia Ruto, “Your Excellency, we want to thank you…”, huku akieleza shukrani zake...
  12. JamiiForums Tanzania Kilimo: Tanzania Yalenga Kuwa Ghala la Afrika Mashariki

    Tanzania inaendelea kuimarisha sekta ya kilimo kwa kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara, ikiwemo mbaazi, pamoja na kuendeleza ufugaji wa nyuki na matumizi ya Akili Mnemba (AI) katika kilimo. Hatua hizi zinalenga kuongeza tija kwa wakulima, kuboresha upatikanaji wa masoko, kuongeza...
  13. JamiiForums Tanzania Afrika hakuna nchi vyama vya upinzani vimeleta nafuu kwa wananchi vikifika Ikulu

    Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahakama moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu. kiuchumi, siasa, na huduma za jamii. Huduma na maendeleo yetu yako chini relatively kulinganisha na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Shughuli za mwaka wa mawasiliano ya watu kati ya China na Afrika zaendelea katika hali motomoto

    Shughuli mbalimbali za mwaka wa mawasiliano kati ya watu kati ya China na Afrika zinaendelea kufanyika katika sehemu mbalimbali za China na Afrika, na moja ya shughuli zilizofanyika hivi karibuni, ni uzinduzi wa sehemu ya sita Maonyesho la Filamu Bora za Kichina na Vipindi vya Televisheni...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya nishati mpya wahimiza maendeleo ya Afrika

    Katika majira ya joto ya mwaka huu, sehemu kubwa ya eneo la kaskazini mwa dunia ilikuwa na joto kali kiasi kwamba katika baadhi ya maeneo barabara ziliyeyuka, misitu iliwaka moto, watu walipoteza maisha na hata kuyumbisha baadhi ya mifumo ya nishati. Hali hii imekumbusha tena umuhimu wa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kongani za viwanda, zawa hatua muhimu kwenye kuhimiza ushirikiano kati ya China na Afrika

    Moja kati ya misemo ya China inayofahamika sana duniani ni kuwa, njia nzuri zaidi ya kumsaidia mtu mwenye njaa, ni kumfundisha namna ya kuvua samaki, kwani njia hiyo ni endelevu zaidi kuliko kumpatia mtu samaki. Uzuri wa China ni kuwa kauli zake huwa zinafuatana na vitendo, na hiki ndicho...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mwitiko wa China kwenye Ebola nchini DRC waonyesha China ni mshirika wa kuaminika kwenye sekta ya afya kwa Afrika

    Kuanzia nusu ya pili ya mwaka huu, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kong ilikumbwa na mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola, ambao hadi kufikia tarehe 22 mwezi Agosti, watu zaidi ya 5,500 walikuwa wamethibitishwa kuambukizwa ugonjwa huo, na zaidi ya 2,600 walikuwa wamethibitishwa kuambukizwa. Kwa kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tembo wa Afrika wanaweza kufugwa kama wale wa Asia?

    Tembi wa Afrika Wanaweza kufugukia kama wale wa Asia? Yule Hannibal alitumia tembo wa kutoka wapi?
  19. H

    JamiiForums Tanzania UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP)

    UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP) Ahadi hiyo ilitolewa na Bi. Fatou Haidara, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO alipofanya mazungumzo na Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo...
  20. JamiiForums Tanzania Kuwekeza Afrika na kufanya biashara si kazi rahisi

    Wewe imagine anachopitia Sunderland kwa sasa? Mkataba kaingia na TFF wizara ikiwa anaongozwa na waziri aliyepita. Wamesign mkataba wa miaka 5 mbele ya makamera. Mchakato wa kutengeneza jezi unajulikana mtengenezaji hawezi kufyatua jezi bila kuwatumia mockup au hata sample TFF. Naibu waziri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…