bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia bado anayo nafasi ya kuwezesha mageuzi ya Katiba nchini, kama tukiаmua kuwa na utulivu wa akili, mikaka

    Ndugu zangu Watanzania KAMATI YA KUSUKUMA MARIDHIANO YA KITAIFA(KKMK) tunahimiza Wanasiasa kuwa na Utulivu wa AKILI,MIKAKATI NA MBINU za kupigania MAGEUZI YA KATIBA na MAZUNGUMZO yatakayozaaMARIDHIANO NA MUAFAKA WA KITAWA KITAFA.Bado tuna imani kwamba pamoja na matatizo yaliyotokea bado Rais...
  2. JamiiForums Tanzania Kufuatia sakata la stendi ya mabasi ni wazi kuwa watanzania wengi bado hatupo tayari kwa utawala wa sheria na tunajicha kwenye "busara itumike"

    Kwanza kabisa niwatake radhi kwa kuchelewa kuandika huu uzi ambao ndo pia utatumika kama msimamo wa JF kwenye hili sakata la stendi ya mabasi Dar Es Salaam. Huko PM kumefurika messages nyingi sana za wanaJF wakitaka nitoe neno kwenye hii ishu. Bila kujali itikadi members wengi wamenisihi. Kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Kizazi cha Kanaani bado kinaendelea kuathiriwa na laana ya Nuhu mpaka leo?

    Kulingana na maandiko ya Biblia kati ya Watoto wa watatu wa Nuhu mmoja alilaaniwa vibaya sana na baba yake. Mtoto aliyelaaniwa bado kizazi chake kinaendelea kuishi chini ya laana? Wazao wake Kaanani leo hii ni wapi ? Mwanzo 9: 25-27 25: Alaaniwe Kanaani; Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake...
  4. JamiiForums Tanzania Nakupongeza RC Chalamila kurudisha mabasi ya mkoani Mbezi Magufuli, bado hili la malori!

    1. Nianze hii sledi pendwa kwa kukupongeza RC Chalamila kwa hatua ya kurejesha mabasi ya mikoani katika eneo la Mbezi Magufuli. Ni hatua nzuri katika kupunguza msongamano na usumbufu kwa wakazi wa Dar es Salaam. 2. Sasa tuangalie tatizo jingine kubwa: malori na ICDs zilizo ndani ya jiji. 3...
  5. JamiiForums Tanzania Ujinga ni kujua ukweli na kuona ukweli, lakini bado ukaamini uongo!

    Kuna tofauti kubwa kati ya mtu asiyejua ukweli na mtu anayejua ukweli lakini hataki kuukubali. Mtu asiyejua anaweza kufundishwa. Anaweza kuuliza, akatafuta ushahidi na hatimaye akabadilisha mtazamo wake. Lakini tatizo linakuwa pale mtu anapoona ushahidi unaopingana na msimamo wake, halafu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubungo: Vyoo vya Soko la Stendi Mawasiliano (Simu 2000) bado havifanyi kazi mwezi wa 6 sasa, vimegeuzwa stoo

    Zaidi ya miezi sita imepita tangu Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo itoe taarifa kwamba inafanyia kazi changamoto ya vyoo vilivyopo katika stendi ya mawasiliano, pembezoni mwa Soko la Maindi. Nasikitika kusema kwamba hakuna kilichoendelea hadi sasa. Vyoo hivyo bado havifanyi kazi na kwa sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Umekutwa na hatia bado unaingia na bangi kituoni uunao ni usela au..?

    Katika purukushani za maisha huku na kule, kuna kipindi nilishawahi kukamatwa na kuwekwa ndani Kesi yangu ilikuwa bado inaendelea, lakini ndani ya moyo wangu nilikuwa naamini kwamba, kwa namna yoyote ile, ipo siku nitatoka. Changamoto kubwa ilikuwa hata kuwafikishia wazazi taarifa kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Kichomi cha Dr. Kitima Phd.. Bado yupo sana

    Ndio man of the match mpaka sasa.. Nyota wa mchezo Kwa nafasi yake TEC angeweza kuteua mwinginr kuongoza wanazuoni waseja kwenda Dodona ikulu ndogo kukumbushia nyaraka zao za nyuma ama kuzifafanua kwa waliojipachika madaraka Hiyo inaitwa ... Usiyempenda kaja... Kaongoza vema jopo la wasomi...
  9. JamiiForums Tanzania Mbinguni ni wapi? Inawezekana bado Yesu anapaa na hajafika mbinguni

    Mbinguni ni dimension nyingine ambayo imetuzunguka hapa hapa kwenye mazingira yetu au ni eneo fulani kwenye ulimwengu au galaxy yetu. Kama ni dimension nyingine basi hakuna habari ya kupaa, ni kitendo cha kuingia humo na kutoka. Kama ni sehemu fulani kwenye huu ulimwengu basi kuna uwezekano...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna watu bado wana muabudu Mungu Nyerere Tanzania ?

    Hivi bado kuna watu wana muabudu Nyerere Tanzania katika nchi ya kufikirika ? Na hao hao watu ni mashabiki na wafuasi wa Lissu ? Inawezekana hii ?
  11. JamiiForums Tanzania Shule za serikali bado zinatuma wanafunzi kuni za kupikia!

    Nimeshangaa sana kuna shule za mjini mpaka miaka hii wanafunzi bado wanapeleka kuni za kupikia na wanafanyishwa kazi za kufagia mavumbi asubuhi shuleni. Shule ya msingi niliyosoma ilikuwa na ujinga wa kututuma mbolea na maua bila kujali kama 99% ya wanafunzi hawakuwa wafugaji wala wenye bustani...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Usijiweke kwenye kundi moja na Imelda Marcos. Bado unaweza kujinasua na historia kama ya Imelda

    Kundi la madikiteita waliowahi kutokea duniani.... As first lady of the Philippines, Imelda Marcos shared power in a "conjugal dictatorship" with her husband, Ferdinand Marcos, marked by severe human rights abuses, martial law, and the theft of an estimated $10 billion. While Ferdinand oversaw...
  13. JamiiForums Tanzania Je huu ni wakati wa watawala kubadilika au bado bado ?

    Vijana ni kama hawaelewi hata walio katika vyama tawala ni basi tuu ila kuna vitu hawakubaliani navyo!
  14. JamiiForums Tanzania Kama huu ni mwaka wa 6 wa kujitegemea dsm na bado unalala chumba kimoja na madumu ya maji na mengine hadi ndio umeegeshea sabufa, rudi tu malampaka.

    Hii sio kejeli Hii ni wake up call Rudi nyumbani, bado ardhi ni milioni mbili hadi mln moja unapata.
  15. JamiiForums Tanzania Kisa cha Zimbabwe kuchapisha kiasi kikubwa cha fedha, lakini bado ikakabiliwa na upungufu wa cash mtaani

    Tujikumbushe kuhusu kisa hiki cha Zimbabwe Thamani ya fedha iliporomoka kiasi kwamba manunuzi ya kawaida yalihitaji kiasi kikubwa sana cha noti, hali iliyozalisha picha maarufu za watu kubeba mafungu makubwa ya fedha kwa ajili ya bidhaa za msingi. Cha kushangaza zaidi ni kwamba, pamoja na...
  16. JamiiForums Tanzania Maboss wetu makazini, watunga sera na wadau wengine, mna nafasi kubwa ya kutuokoa sisi watumishi tusisitafie kwenye nyumba za serikali

    Mimi leo ndo napata majibu ya kwanini zamani tulikuwa tunaona watu wana-staff hawana nyumba Wala kiwanja licha ya kuwa walikuwa na vyeo vikubwa sana serikalin/private sectors. Baadhi ya Sababu za mtu kushindwa kujenga kipindi cha utumishi ni: • kuwa na boss asiyeamini kwenye uwekezaji wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania bado ni maskini ikiwa imejaliwa raslimali nyingi kiasi cha kutosha

    Salamu kwa wote. Bado naendelea kutafakari ni namna gani taifa litaondoka kwenye huu umaskini na ufukara ukiopo kati ya wananchi dhidi ya utajiri wa rasilimali zake. Kwa mfano nchi ya Luxembourg ina square km 2,600 nchi nzima na ni moja ya nchi tajiri zaidi duniani . Kwetu Tanzania mwambao...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Mzee Philipo umezeeka mwili ila Kili bado za kijinga

    Nimesikiliza mjadala leo kwenye DW mchana huu uliohusu swala ra maridhiano. CCM iliwakilishwa na mzee Philipo mstaafu. Kwa kusikiliza jinsi alivyokuwa akitetea chama chake kwa hoja za kitoto, nimeamini kuwa kumbe sio kile uzee unaendana na hekima, kazeeka na ujinga wake
  19. JamiiForums Tanzania Pamoja na kukopa trilion 51 ndani ya miaka 5 bado mradi wa SGR Unasuasua tatizo nini?

    Mikopo yote tuliyokopa tumeshindwa kweli kumalizia kipande cha SGR mwanza Dar kweli? Tutakuza vipi uchumi kama miradi ya maendeleo inasuasua hivi?
  20. JamiiForums Tanzania Alieko karibu na kalapina amwambie kuwa sugu sio level yake. Mtu mzima bado mtaa upo kichwani wakati sugu ni executive mind.

    Mtu huyu atakuwa katika 40s ili bado mtaa umemkaa kichwani, Hurka yake ni fujo za mitaani ambazo zilipekea hadi watu kuumia. Wakati huo bado anapambana na upumbavu wa mitaa na umri ukiwa umeenda, mr 2 sugu aka 2 proud anafanya mambo international na anasaini mikataba ya mpunga. Mtu mwenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…