bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bajeti yako ya mwisho kabisa kwenye kununua simu ni shilinga ngapi?

    Huwezi kununua simu inayozidi sh ngapi? Tushirikishe…
  2. Nahitaji kiwanja bajeti 4ml

    Nahitaji kiwanja Buswelu,mwanza kwa bajeti tajwa hapo juu. Asante
  3. RC Songwe: Wakurugenzi wa Halmashauri kazi zenu hazidumu milele, lipeni madeni ya Watumishi na Wazabuni

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo, amewataka wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha wanalipa madeni ya watumishi na wazabuni bila kuchelewa. Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Maendeleo ya Mkoa (RCC) kilichofanyika Februari 19, 2025, kwa ajili ya kupitisha bajeti ya...
  4. Madiwani Jiji la DSM wapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti ya TShs. Bilioni 290.5 kwa Mwaka 2025/26

    BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, limefanya Mkutano Maalum wa Mapitio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/25 kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai-Disemba, 2024) na kisha kufanya Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/26 wenye Jumla ya TShs. Bilioni 290.5...
  5. R

    Kwa bajeti ya laki 4 hadi 6 ninunue simu gani ambayo kioo chake hakizidi laki 1 ?

    Nimedondosha simu kioo kimepasuka, nimehamisha mafaili fasta kabla wino haujajaa Bei ya kioo ni shilingi laki 4 Tukio kama hili ni mara ya pili, mara ya kwanza niliweka simu kabatini mwezi mzima nilikuwa natumia kitochi round hii nimeona bora nibadili simu maana simu itanifilisi kipato changu...
  6. Pre GE2025 Jiji la Tanga limepitisha rasimu ya bajeti ya Tsh. bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026

    Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Jiji la Tanga limepitisha rasimu ya bajeti ya Tsh. bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ikiwa ni ongezeko la asilimia 19.491 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2023/2024, ambayo ilikadiriwa kukusanya Tsh. bilioni 21 kutoka mapato ya ndani. Akizungumza...
  7. X

    Trump anataka Marekani, China na Urusi zipunguze nusu ya bajeti zao za ulinzi. Pia anapenda Urusi irudishwe kwenye G7

    "Moja ya mikutano ya kwanza ninayotaka kufanya ni pamoja na Rais Xi wa China, Rais Putin wa Urusi, na ninataka kusema, tupunguze nusu ya bajeti zetu ya kijeshi na nadhani tutaweza kufanya hivyo." – Trump Huu ndio utamu wa kwenda naye kibabe Marekani. Marekani ni superpower kwa mataifa dhaifu...
  8. Ujenzi Ofisi Mpya ya Mkuu wa Wilaya Chunya Kupangiwa Bajeti 2025/2026

    UJENZI OFISI MPYA YA MKUU WA WILAYA CHUNYA KUPANGIWA BAJETI 2025/26 Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Dkt. Festo Dugange amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuweka kwenye bajeti ya mwaka wa fedha 2025/26 maombi ya fedha kwaajili ya ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chunya. Mhe...
  9. Waziri wa Fedha apendekeza nyongeza ya Tsh. bilioni 945.7 kwenye bajeti ya serikali ya 2024/25. Pesa za Kampeni zinatafutwa?

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye Bajeti Kuu ya Serikali ya 2024/25 kutoka kwenye ile ya awali ya Trilioni 49.3 iliyowasilisha Bungeni Juni 13,2024. Soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
  10. Utegemezi Afrika jadi yetu - Bajeti AU, SADC, EAC 60% zinategemea wafadhili

    1. Majengo ya Makao Makuu - AU Addis Ababa (Msaada toka China). EAC, Arusha (Msaada toka Ujerumani). 2. Bajeti zaidi ya 60% kutoka kwa wafadhili (hususani EU, huku wanachama wakisuasua kutoa ada kila mwaka).
  11. JANETH MASSABURI: Serikali ina mpango gani wa kutenga bajeti ya elimu kwa umma kwa masuala mbalimbali yanayotarajiwa kutekelezwa nchini?

    JANETH MASSABURI, Mbunge wa Viti Maalum Anauliza; Serikali ina mpango gani wa kutenga bajeti ya elimu kwa umma kwa masuala mbalimbali yanayotarajiwa kutekelezwa nchini? Serikali imezisisitiza Wizara zote na taasisi zake kuendelea kutenga fedha kwenye mafungu yao kwa ajili ya kutoa elimu kwa...
  12. TV Mpya vs. Mtumba: Ipi ni Bora kwa Bajeti ya Milioni 1.5

    Wataalamu wa mambo naomba msaada wenu katika uamuzi huu. Nina bajeti ya milioni 1.5 kwa ajili ya kununua TV, na leo nimezunguka madukani kutafuta chaguo bora. Katika maduka ya bidhaa mpya, nimepata TV mbili zinazovutia: Hisense 65A6K/N – UHD Smart 4K TCL UHD Smart 4K Zote zinauzwa kwa...
  13. Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya utekelezaji bajeti ya Wizara ya Ardhi kwa nusu mwaka 2024/2025

    Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzava Januari 23 2025 imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba 2024. Katika kikao hicho...
  14. M

    Sebule yenye ukubwa wa futi 14 kwa 13 zinaingia tiles box ngapi na bajeti yake yote

    Wakuu naomba kujua sebule yenye vipimo hivo inaingia tiles box ngapi? Na nahitaji tiles ambazo ni affordable kwa mlala hoi lakin imara urembo SIO kipaumbele, vilevile gharama za ujenzi zote pamoja na mafundi Karibuni kwa mchango wenu wadau
  15. Katika hotuba yake, Lissu anajadili bajeti ya mkutano wa Baraza Kuu wakati alipewa kazi ya kuchangisha milioni 30, hajatoa hata mia. Mnampaje chama?

    Lissu ameanza kutoa milio. Anasema bajeti ya wajumbe kulala, hizo hela wajumbe wasipewe, walipiwe hotel, Lissu anataka hata hela ya safari wajumbe wasipewe, wakodiwe magari, hela ya kula wasipewe, walipiwe kwa mama ntilie. Yaani mjumbe hata kama ana ndugu yake asifikie huko ili kuokoa gharama...
  16. T

    Wenje: Bajeti ya Uchaguzi mkuu wa CHADEMA ni zaidi ya milioni 700

    "Chama chetu kina ruzuku ya milioni 107, huwezi kukiendesha Chama kikubwa kama Chadema kwa kiasi hicho cha fedha. Tunaenda kwenye Uchaguzi Mkuu huu ambao yeye anagombea, bajeti yake ni zaidi ya milioni 700.
  17. Wanauchumi nipeni bajeti nikiwa na buku 3 natoboa vipi siku

    Wanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe kwa mtaa Naomba ushauri wa kina, me ni Mtanganyika mwenzenu
  18. Wanauchumi nipeni bajeti nikiwa na buku 3 natoboa vipi siku

    Wanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe Kwa mtaa Naomba ushauri wa kina, me ni Mtanganyika mwenzenu
  19. L

    Utajiri Wa Elon Musk unaweza Kufadhili Bajeti Ya Tanzania kwa Miaka zaidi ya kumi mfululizo Pasipo Mtu yeyote kulipa kodi wala ushuru wa aina yoyote

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Dunia Jamani kuna watu wana Hela,kuna watu wana pesa,kuna watu wana Fedha. Watu wana hela mpaka unajiuliza wao wanazipata wapi wakati kuna watanzania wanafanya kazi usiku na mchana kuanzia migodini ,mashambani , mabarabarani,viwandani lakini hawapati pesa hizo...
  20. KWELI Mchinjita: Mchango wa wakulima kwenye pato la taifa ni 26%, bajeti iliyopangwa 2024/2025 ni shilingi trilioni 49

    Mchinjita alikuwa na mkutano wa hadhara mkoani Mtwara ambapo amezungumzia masuala mbalimbali, tazama hapa hotuba yote.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…