Leo nikiwa maeneo ya Samora, Posta Mpya, nilishuhudia watu wawili wakikimbizana kwa kasi kubwa. Kilichonishtua zaidi ni kwamba mmoja aliyekuwa akimkimbiza mwenzake alikuwa ameshika kisu. Mwanzoni nilihisi huenda kulikuwa na mwizi, lakini baada ya dakika chache, mtu huyo mwenye kisu alirejea...