dodoma

  1. T

    Pre GE2025 Wasira apewa jina lenye asili ya kigogo lenye maana ya jemedari wa vita

    Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Dodoma amesema wamempa jina la "Marugu" Makamu mwneyekiti wa CCM bara Stephen Wasira likiwa na maana ya Jemedari ama mpambanaji wa vita, aidha amesema wanamshukuru Chief Hangaya ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia...
  2. Baada ya Matukio ya CCM ya Samia Kupindua meza za political trajectories huko Dodoma wengine Yunafunga kamdomo ka Siasa

    Wakwanza mimi kunyoosha mikono SSH kapiga pasi ndefu sana, kapiga butua kali sana, kusema ukweli umepigwa mwingi wa ali ya juu, We have been caught up by surprise haieleziki hasira na kicheko vyote kuchukua kaweka waaah, taamu taaamu hahaaa hasira zenye kicheko ndio hii amazing SSH for...
  3. Huyu unaweza kuta ni Baba yake mtu au naye ana Wazazi wanasema wana mtoto wa kiume

    Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
  4. M

    Wana CCM kataeni UHUNI uliofanyika Dodoma

    Kwenu wana CCM mnaojitambua, wenye mapenzi mema na chama na mustakbali mwema wa nchi hii. Hicho mlichofanyiwa Dodoma ni uhuni mtupu, hakipo ndani ya kanuni, taratibu wala culture ya chama. Inakuwaje mnakubali genge dogo la watu wachache wanakaa chemba ili waje wawastukize kwa jambo nyeti kama...
  5. "Sykes, Sykes, Sykes" Ndani ya Mkutano Maalum wa CCM Dodoma

    Majuma mawili yaliyopita kwenye group letu moja kuna mwenzetu mmoja aliandika maneno hayo hapo chini: "Jamani historia nzima ya Tanganyika ni Sykes and Sykes and Sykes and Sykes." Nadhani alikuwa kachoka. Kila ninapoandika historia ya uhuru wa Tanganyika Sykes hawakosekani. Kwa hakika...
  6. D

    Ghafla bin vuuu wote, Kila mara, wanaandika kuhusu Dodoma.

    Wanashindana Sasa kuleta threads za kilichojili Dodoma. Awali walisema huko hakutrend, hakuna habari ya kuchukua lakini ajabu servers zinajaa sababu ya threads zao zihusuzo Dodoma. Aisee hili lidude liitwalo ccm ni balaa Kwakweli.......
  7. Philip Mpango ameshindwa kuacha legacy ya kuiacha Dodoma ya kijani japo Wizara ya Mazingira ilikuwa chini yake

    Mimi nilikuwa mmoja wa watu niliyekuwa nikimuhamasisha Mzee Philip Mpango afanye kampeni kubwa ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda mamia ya mamilioni ya miti. Hii ingemuacha na kumbukumbu kubwa sana. Huko duniani fedha za mazingira zimejaa tele. Mzee hata hilo lilimshinda. Mji wa serikali...
  8. Pre GE2025 CCM wamemaliza yote Dodoma, yanayofuata ni kukamilisha ratiba tu hadi 2030

    1. Hongereni CCM kwa Mkutano Mkuu Maalum hapa Dodoma. 2. Yanayofuata yote ni kukamilisha mechi za kwenye ratiba tu a.k.a stand up comedy. **Sasa naelewa kwann Wasanii wote walialikwa Dodoma
  9. R

    Umejifunza nini kipya mkutano mkuu wa CCM Dodoma?

    Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara. Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi...
  10. Tetesi: Lema kutikisa Dodoma leo tarehe 19/01/2025, Amfuata Msigwa

    Ni suala la muda tu, mambo yote yako tayari. Ni mtikisiko mkubwa.
  11. P

    DODOMA: CHADEMA Mkoa wa Dodoma wamkataa kata kata Mbowe wasema Kwa sasa ni Lissu Wanakuwa ni Mkoa wa 20 kutoa azimio hilo kati ya Mikoa 31

    https://www.youtube.com/live/3eUZr56l98U?si=Ri2UPJYSDc5O1vN2 Tuache Kudanganyana Mbowe hawezi kushinda huu Uchaguzi tuweni wa kweli na Mungu atatubariki Mbowe hatakiwi kabisa. Mjumbe hata kama utapewa pesa toka CCM ili umchague Mbowe usifanye hivyo utakiua chama.
  12. Mwijaku uso kwa uso na Diamond Platnumz leo Dodoma kwenye mkutano wa CCM

    Mwijaku amekutana na Diamond Platnumz kwenye Ukumbi wa Mkutano wa CCM mjini Dodoma.
  13. Masahihisho: Historia ya African Association Kama Ilivyoelezwa Katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma

    https://youtu.be/X8aFsrqOgUQ?si=_R7PLruw4fYbQTWK Historia ya African Association imekosewa kidogo. African Association inachanganywa na Tanganyika African Association (TAA). African Association ilibadili jina na kuwa Tanganyika African Association (TAA) mwaka wa 1948 kujitofautisha na African...
  14. J

    TANROADS: Hili shimo barabara ya Dodoma hapa stand ya Dodoma mjini Morogoro hamulioni?

    TANROADS naomba niseme tu hamko makini. Kuna shimo lipo stand ya Dodoma MJINI Morogoro jirani kabisa na Substation kubwa kabisa ya TANESCO linasumbua sana!! Kuna watendaji nahisi hawaelewi wajibu wao katika taasisi za Serikali especially TANROADS. Na hili shimo ipo siku litasababisha ajali...
  15. C

    Walichokifanya CCM Mkutano Mkuu ni uchaguzi, Uteuzi au kuthibitisha Uteuzi? Hivi hiki kilichofanyika

    Hivi hiki kilichofanyika Mkutano mkuu wa ccm Dodoma leo ni uchaguzi , uteuzi au kuthibitisha jina la mteuliwa ? Uchaguzi ni kuchagua mtu au vitu zaidi ya kimoja sasa mtu yupo mmoja hapo unakuwa umechagua nini? Wapiga kura wamepiga kumchagua mzee Wasirsa na nani alikuwa mpinzani wake? Kura za...
  16. M

    Wasanii wengi sana waitwa Dodoma mkutano wa CCM

    Hakika CCM ni chama kubwa sana. Lakini ninawaza tu kuwa: 1. Bila wasanii ni wazi kikao kingefanyika 2. Bila wasanii wengi CCM kwa ukubwa wake itashinda tu kwenye uchaguzi wa mwaka huu tena kwa kishindo kikubwa tu. Gharama za wasanii: 1. Usafiri 2. Malazi 3. Chakula 4. Posho Ninajua hizo...
  17. World leaders gathering at Dodoma

    At that time there was in the east, beyond sixty-eight thousand innumerable universes, a universe known as Susthitamati, and within that universe resided a thus-gone one, a worthy one, a perfect buddha known as Sky Family. Abiding and remaining present there, he taught the Dharma. This blessed...
  18. Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama cha Mapinduzi Dodoma 2025 kutoa muelekeo wa Taifa!

    Mkutano mkuu maalumu wa CCM ni tukio adimu na huweza kuchukua miaka mitano. Mara zote Mkutano mkuu wa CCM hutumika kuweka mustakabali wa Chama cha mapinduzi,vyama vya upinzani,Serikali na mwenendo wa siasa nchini. Tujiandae kupitia media zote,mitandao ya kijamii na kuna baadhi ya maeneo...
  19. B

    CCM kumnadi Mbowe Dodoma kiaina, kuna nini nyuma ya pazia?

    Labda hii ni katika kumuweka mwamba kwenye ramani? Kwamba mdahalo kala kona. Hali ya uwanja haitamaniki. Kwamba kipi kifanyike? "Ama kweli rafiki wa kweli ni rafiki kwenye dhiki!"
  20. Kama haupo Dodoma kwenye vikao vya ccm weekend hii, na unajufanya ni mwanachama kindakikindaki, basi jua wewe ni mpiga kelele tu

    Wenye chama chao wapo Dodoma, wewe upo hapa unatupigia kelele tu, amka toka usingizini! Punguza uchawa…
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…