hotel

  1. Hotel inayoruka angani kwakutumia nguvu ya nyuklia yaja

    Hoteli kubwa ya angani itakayoendeshwa kwa nguvu ya nyuklia yaja, pamoja na huduma zingine, inatajwa kuwa hotel hiyo itakuwa na gym pamoja na bwawa ya kuogelea, hotel hiyo itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 5,000 kwa wakati mmoja na itaweza kuwa angani kwa muda wa miezi kadhaa na itaweza...
  2. Futari ya Pork (Nyama ya Nguruwe) Ambassador Hotel Harare 1993

    https://youtu.be/BiQXaEhkisE?si=S02Lbs7ZIB7REY1o
  3. Haji Manara na Steve Nyerere zile Ngumi mlizopigana pale Serena Hotel Wiki Tatu sasa zimepita zilisababishwa na nini?

    Na mlichokisahau mlijitahidi sana kulificha hili hasa wa Waandishi wa Habari mbalimbali ila mkasahau kuwaambia Walinzi wa Hoteli husika nao Wauchune wasiseme na hata Wataalam wa IT wa hiyo Hoteli nao Wauchune na kama kawaida yangu Mzee wa Kuzipata zile Taarifa Ngumu na Zilizofichwa Tanzania...
  4. Live from King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri, TEF

    Wanabodi, Niko kwenye ukumbi wa hoteli mpya ya King Jada Hotel, nikiwaripotia live, kikao kazi kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri Tanzania , TEF Karibuni. Paskali
  5. DOKEZO Taarifa tunazoandika kwenye Madaftari ya Lodge, Hotel au Ofisi zinatumiwa na kutunzwa vipi?

    Katika miaka ya hivi karibuni, Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni muhimu sana maana taarifa za mtu zinaweza kutumika vibaya muda wowote bila ya muhusika kujua. Leo nimewaza sana zile Hotel, Lodge, au Guest ambazo tunaenda na kuambiwa tuandike taarifa zetu kwenye daftari Mapokezi. Hivi zile taarifa...
  6. Serikali itwae ardhi kubwa kigamboni iwe na hotel za kisasa na kumbi kubwa za mikutano, itasaidia kuondoa kero ya kufunga barabara

    Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii. Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
  7. Dunian sijawai kuona mji wa kipuuzi Kama Phuket unazunguka hotel zaidi ya 200 zote full?

    Mwezi Jana nilikuwa phuket kwa kazi fulan sehemu inaitwa Patong! Kilichosaidia nili book mapema Agoda lengo nikifika nibadili hotel maana kwa siku moja mtu unatozwa baht 12,000 Sawa na usd 500$ , asubuhi nikachukua taxi tukazunguka kila hotel kutafta cheap ! Nazo Nikaambiwa kwamba hata hiyo...
  8. T

    Hotel zinazohudumia abiria haswa usiku zingatieni usafi

    Hivi karibuni nilisafiri kutoka Mkoa flani nikalala Singida, kesho yake nikasafiri usiku kwenda Dar. Tulipofika Dodoma majira ya saa 5 usiku tukashuka kwenye moja ya hotel kwa ajili ya huduma za kijamii. Aisee mazingira ya maliwato ni mabovu. Kuchafu na maji hakuna kabisa. Nikajiuliza ni day...
  9. NSSF hawajakoma? Baada ya kujenga maghorofa ya Dege Kigamboni, yakadoda, Ubungo Plaza, Hoteli Mwanza, sasa wanajenga hotel ya nyota tano Dodoma.

    Katikati ya tetesi za mapendekezo ya watumishi kustaafu wakiwa na miaka 65 ili kuiokoa mifuko hii ya hifadhi ya jamii., mifuko hii ambayo kimsingi ni mahututi, NSSF wanakuja na hoja ya kujenga hotel ya nyota tano Dodoma. Ni ujinga mwingine.
  10. Chumba, Sebule kubwa ya kisasa na Parking ya gari inapangishwa Mabibo Makuburi karibu na Samaria Hotel

    Chumba na sebule kubwa ya kisasa katika neighbourhood yenye amani inapangishwa kwa bei ya Tsh 150k kwa mwezi. Mabibo makuburi nyuma tu na ilipo Samaria Hotel Eneo lina usalama wa kutosha ndani ya geti Mawasiliano kuja kutazama bure: 0621973591 Kodi ni malipo ya miezi sita Hela ya udalali kama...
  11. Nimepanda miti minne, mitatu mbele ya hotel ya Kebby's na mmoja ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA)

    Jana tarehe 17/12/2024 nilipanda miti minne mtaa wa Mwenge Kijijini. Nimepanda jumla ya miti minne, mmoja mbele ya ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA), na mingine mitatu nimepanda mbele ya Kebby's Hotel. NI utamaduni wangu wa kupanda miti kandokando ya barabara ili kuwafanya waendao...
  12. M

    Tunauza Digital Kids Watch

    Kids digital watches Zinapatikana kwa bei ya 5,000/= tu Tupigie au whatsup 0762619116 Tupo manzese tiptop near JM hotel
  13. Kwa nini kitimoto kinauzwa Bar na Hotel kubwa tu? Ni marufuku mama ntilie na wauza chips kuuza kitimoto?

    Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu? Kwa nini hakuna mama ntilie wanaouza kitimoto kama mboga ya ugali na wali?? Hatuoni huu ni unyanyapaa kwa watu wasioweza kuagiza...
  14. Nilikuwa nauza mgahawa sasa nina hotel mbili

    Kwa hapa nilipo nashukuru, nimefanya kazi ya kupika na kuuza chakula hapa mjini kwa miaka 10 sasa tangu mume wangu alipoamua kuniacha na kuoa mwanamke mwingine. Mume wangu aliponiacha nilipitia hali ngumu ya maisha haswa kulipa kodi, kuwapatia watoto chakula, kuwavalisha na huduma nyingi ambazo...
  15. M

    Revealed: How Rigathi Gachagua’s Hotel Room Was Bugged

    In a startling revelation, Deputy President Rigathi Gachagua recently disclosed that his hotel room was bugged during a recent visit to Kisumu, raising concerns about security breaches within the government. Gachagua spent the day touring the Nyanza region alongside his boss, President William...
  16. Best Hotel amenities (Room services products)

    Hotel Amenities kwa nusu bei!!! Tunauza Bidhaa za kipekee za kisasa. (International Standards) Zimetengenezwa mahsusi kwa Hoteli za Nyota 3 na kuendelea. Tunazo Dental kits(Mswaki na dawa yake), Sabuni za Mviringo za Kifahari, Shampoo, shower gels, Body lotion na Shower Cap. Tupigie sasa...
  17. Hotel/Lodge nzuri Bagamoyo

    Habari wakuu. Natarajia kuwa na likizo fupi ya mapumziko na nina hitaji mahali ambapo nitatulia na mama watoto wangu kwa hyo wiki moja kuanzia tarehe 22 Octoba Niko hapa kuwaomba kama kuna mdau anaweza kufahamu hotel/ Lodge nzuri ya bei za kitanzania kuanzia 50,000/= mpaka 80,000/= Nitafurahi...
  18. M

    Utaratibu wa kuachia vyumba kwenye Hotel, Lodges na Guest House ni wa udhulumaji

    Najua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu. Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika saa 4 kuwa muda wa chumba umeisha nilazima ukereke sana. Bei za chumba huwa ni kwa siku. Na wote...
  19. Q

    Hotel mpya na nzuri Dar es Salaam

    Naombeni kunitajia hotel nzurii na mpya za hivi karibuni hapa Dar es Salaam bei iwe affordable na sehemu iwe imetulia nawakilisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…