Wataalamu/wazoefu naomba kujua hii kitu inawezekana? Au kuna njia nyingne ya kuendesha freezer nje ya umeme?
Kuna sehemu nataka niweka banda la chuma yale ya kuhamishika kwa biashara, nahitaji kuweka fridge(SIO FREEZER) ya 340 ltr, umeme kuufikisha ni kipengele...
Je naweza funga Solar power...