Kwema wakuu
Aisee jana nilienda kuangalia movie mida ya usiku, nilikaa mbele ya mdada flani ivi ambaye mwanzoni nilidhani atakuwa mtaratibu tuu kwasababu alivofika alianza kusalimia watu wote wa karibu yake ila kilichofata nilitamani nihame.
Yaan huyu mdada kwanza anapiga makelele, kitu cha...