kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Msaada mwenye kujua kesi yoyote aliwahi kuishinda Wakili Boniface Mwambukusi

    Toka amelazimisha kufahamika na kupata umaaurufu sijawahi kuonanashinda kesi yoyote mahakamani. Kama yupo anayejua tafadhali aiweke hapa
  2. Mtoto wa miaka 13 awafungulia kesi Wazazi wake kwa kumtelekeza Shule ya Bweni Afrika

    Mtoto wa miaka 13 amefungua kesi dhidi ya wazazi wake akiwatuhumu kwa ukatili baada ya kumpeleka nje ya nchi, kisha kumsajili katika shule ya bweni, na kumtelekeza huko. Kwa mujibu wa taarifa, mtoto huyo, ambaye hakutajwa kwa sababu za kisheria, aliwasiliana na Ubalozi Mdogo wa Uingereza na...
  3. Mwemba Burton (Mwijaku) alia kwa uchungu Dkt. Nawanda kubambikiwa kesi ya ulawiti, adai wazazi ndio wanaoumia

    Wakuu. Mwijaku amwaga Chozi :KEKLEO: Mtangazaji wa Crown Media, Mwemba Burton maarufu Mwijaku ameonyeshwa kuumizwa na kudai amekumbushwa mbali baada ya kuona Wazazi wa Dkt. Nawanda wakilia kwa uchungu, huku akishauri watu waache kubambikiana kesi ambacho zinakuja kuwaumia wengine wasiokuwa na...
  4. Wafanyakazi wa NBC waachiwa huru baada ya kesi ya utapeli TSh milioni 390 kufutwa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imewaachia huru wafanyakazi wawili wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Johnson Kato (57) na Gasper Kimaro (30) waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki, Wakili wa Serikali...
  5. Ontario: Mahakama Kuu ya Canada Yatupilia Mbali Shauri la Wanaharakati Walioshitaki Barrick Kukiuka Haki za Binadamu Kwa kutumia Polisi North Mara.

    Mwenyekiti wa Makampuni ya Barrick amesema amefurahishwa na maamuzi ya Mahakamani ya kutupilia mbali Shauri lilopelekwa na Wanaharakati wa Tanzania ambao Walioshitaki kampuni hiyo Kwa kile kinachodaiwa Kukiuka Haki za binadamu kwenye mgodi wa North Mara Kwa kutumia Polisi. Kampuni ya Dhahabu...
  6. Watu 6 kutoa ushahidi Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake

    Mtuhumiwa Upande wa Jamhuri katika kesi namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake (11) umesema kuwa unatarajia kuwa na...
  7. LGE2024 Mdude amburuza kortini RPC Songwe, Mwabukusi kumuwakilisha katika kesi hiyo

    Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi. Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili...
  8. Kesi ya Google; Hatimaye walazimishwa kuiuza Google Chrome Browser kupunguza Monopoly kwenye biashara

    Baada ya muda mrefu kesi iliyokuwa inaikumba Google kwa kuwa moja ya kampuni inayomiliki platform nyingi zinazokusanya data pamoja na umiliki wa Google search engine ambayo imekuwa ikitumika kwenye browser nyingi duniani, kama vile Mozilla Firefox, UCbrowser, Safari, Google Chrome, Operamini n.k...
  9. Kesi ya Mtumishi wa TRA aliyetishia Bastola na kujeruhi mtu Club 1245 yapigwa Kalenda hadi Januari 21, 2024

    Kesi inayomkabili mshtakiwa Derick Derick Junior, ambaye alionekana katika kipande cha picha jongefu (video) kilichosambazwa katika mitandao ya kijamii, akimshambulia mtu mwingine kwa mateke na kitako cha bastola, imepangwa kuanza kusikilizwa ushahidi Januari 21, 2025, katika Mahakama ya Wilaya...
  10. Kesi ya Boni Yai, Malisa yapigwa kalenda, kusikilizwa Desemba 19

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Desemba 19, 2024 kuanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha umma, inayomkabili meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (42) maarufu Boni Yai. Mbali na Jacob, mshtakiwa wa pili katika kesi...
  11. Ifikie kipindi sheria za nchi yetu iwe na madaraja ya kesi za ubakaji

    Ni kutokana na kukithiri kwa biashara za ngono, ulevi, utumiaji wa madawa ya kulevya kwa upande akina dada, Sasa ni wakati sahihi kwa sheria za nchi yetu kubadilika., Hasa pale linapokuja suala la matukio ya kingono na visa vyake. Nchi yetu kwa sasa imeingia katika wimbi kubwa la...
  12. G

    Uchawa, MAGHOROFA kuanguka, wingi wa wamadaktari uchwara mahospitalini na TZ kuangukia pua kwenye kesi za kimataifa ni kilele cha UBOVU wa ELIMU.

    Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
  13. LGE2024 ACT Wazalendo kufungua kesi Mahakamani kupinga Wagombea wao kuenguliwa, ili uchaguzi urudiwe

  14. BAKWATA yafunguliwa kesi, kisa na mkasa Mamlaka yake ya kidini

    Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini Tanzania, Sheikh Issa Ponda, pamoja na viongozi wengine 11 wa Kiislam, wamefungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakipinga mamlaka ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) juu ya maamuzi yanayohusu masuala ya dini...
  15. Lissu aiomba Mahakama itupilie mbali Kesi ya Uchochezi dhidi ya Askofu Machumu Maximilian Kadutu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima

    Wakili wa mshtakiwa Askofu Machumu Maximilian Kadutu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Jijini Dar es Salaam, Tundu Antipas Lissu ameiomba Mahakama itupilie mbali shauri la Kesi ya Uchochezi dhidi ya Askofu huyo kwa madai kuwa halina mashiko. Kwenye shauri hilo la jinai, Namba 19525, Mwaka 2024...
  16. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Bunda na wengine 11 Wafikishwa Mahakamani kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Watumishi tisa wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, akiwamo aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo, Amos Kusaja na wafanyabiashara watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya...
  17. Ferdnand Ndikuriyo (Chuma cha Chuma) afikishwa Mahakamani, akabiliwa na Kesi ya kujibu

    Kijana Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu kwa jina la Chuma Cha Chuma ambaye ni Raia wa Burundi, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam leo Novemba 05,2024 akikabiliwa na mashitaka ya kuishi Nchini Tanzania bila kibali. Chuma ambaye ni Mkazi wa Mbezi...
  18. Rais wa CAF, Patrice Motsepe ashtakiwa Dar es Salaam, Kesi ya Tsh. bilioni 525.8 kuunguruma leo

    Rais wa Shirikisho la soka la Afrika (CAF), Patrice Motsepe yamemkuta makubwa nje ya uwanja ambayo yatamlazimu kuwepo Dar es Salaam. Bosi huyo ambaye ni mmiliki wa klabu tajiri ya Mamelodi Sundowns amefunguliwa kesi nzito na kesho jumatatu itaanza kuunguruma Jijini Dar es Salaam. Kesi hiyo...
  19. Mahakama yatupilia mbali kesi ya Saqware

    Kesi ya madai namba 167/2021 iliyofunguliwa na Baghayo Saqware dhidi ya Hospitali ya Salaaman imetupiliwa mbali na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam baada ya kushindwa kuthibitisha madai yake. >> Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali kesi ya madai ya Kamishna wa...
  20. Tetesi: Gachagua kupeleka Kesi ICC The Hague

    Duru zinaeleza kuwa aliyekua Naibu Rais wa Kenya amewaelekeza wanasheria wake kufungua kesi Mahakama ya ICC The Hague ili apate haki yake ambavyo ameikosa kwenye Mahakama za Kenya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…