kitila mkumbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Bingwa wa Kitila Jimbo Cup apewa Bajaj, msimu ujao zawadi kuboreshwa

    Wima FC kutoka Mburahati Barafu imeibuka bingwa wa Kitila Jimbo Cup baada ya kuifunga Baruti FC kutoka Kimara kwa magoli 3-1 kwenye mchezo wa Fainali uliochezwa uwanja wa Kinesi, Shekilango, Ubungo. Kitila Jimbo Cup ni mashindano yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ubongo ambaye pia ni Waziri...
  2. Sakata la bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa Waarabu latua Bungeni. Prof. Kitila asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ajibu sakata la Bandari ya Bagamoyo. Asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji Soma: Ubalozi Wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Watoa Maelezo ya Kina juu ya Upotoshaji unaoendelea Mitandaoni "Serikali ipo...
  3. Hili la Mbowe kuibua kipaji cha Prof. Kitila Mkumbo lina ukweli?

    Wakuu, kama tulivyomsikia Mbowe akizungumza namna alivyoibua vipaji vya kisiasa , na miongoni mwa aliowataja kama matunda yake ni kitila Mkumbo wakati anasoma! Kuna ukweli hapa? Mwenye kumbukumbu na history ya Pro. Mkumbo atupe mwanga
  4. Pre GE2025 Prof Kitila Mkumbo: Mbowe hagombei uchaguzi ambao anajua ataenda kushindwa

    Gwiji la siasa Tanzania limesema, nani atabisha? Huyu ni moja ya mabingwq wa tathmini za siasa ambaye nchi hii haijawahi kupata. Mbowe mitano tena.
  5. J

    Prof Kitila: Hakuna Chama chenye Akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia

    Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili...
  6. Pre GE2025 Prof. Kitila Mkumbo: Lissu na Mbowe wametusaidia kupata hoja za kuipiga CHADEMA

    Wakuu Kumbe na wao wamenogewa na show za FAM vs TAL 😂 == Mbunge wa Ubungo na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amefichua kuwa mtifuano wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye kinyang’anyiro cha Uchaguzi wa Uenyekiti CHADEMA umewasaidia kupata hoja za kuwapigia Soma: Kitila...
  7. Live from Hyatt Regency: Mkutano wa Waziri Prof. Kitila Mkumbo, TIC na EPZA na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri, (TEF)

    Wanabodi, Niko hapa Hyatt Regency, zamani Kilimanjaro Kempiski, kuwaletea mkutano wa Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri. https://www.youtube.com/live/WFUYWRfpEMo?si=IndxqjQLpwOEv19tKaribuni. OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI TAARIFA...
  8. K

    Prof. Kitila Mkumbo kufanya mipango ya miaka 25 bila mawazo ya Diaspora ni kutoangalia mbali

    Kuna diaspora wengi wasomi, wafanyabiashara, na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa ambao wangetoa mawazo bora kwa maendeleo. Badala ya kutegemea wasomi wa aina ya Mkumbo wanaokariri, ni muhimu kuomba mawazo ya diaspora kwa manufaa ya umma na kuyachanganya na fikra nyingine. Hawa diaspora...
  9. Pre GE2025 Kitila Mkumbo: Nimejipanga vilivyo kugombea Ubunge 2025, msije kudharau nyoka mdogo sumu ni ile ile!

    Wakuu, Kash kash zimeanza rasmi sasa! ===== Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, Januari 1, 2025, amewahutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Jimbo la Ubungo katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika Ubungo Plaza...
  10. LGE2024 Dar: Prof. Kitila Mkumbo ashiriki kupiga kura, asema wananchi wasichukulie poa uchaguzi huu

    Wakuu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amepiga kura katika kituo cha Shule ya Msingi Manzese Mtaa wa Kilimani, Manispaa ya Ubungo Dar Es Salaam. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
  11. Prof. Kitila Mkumbo: SGR imewaongezea Watanzania furaha

    Akizungumza kupitia jukwaa la KumekuchaClub la mtandao wa kijamii wa Clubhouse Novemba 03, 2024, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema haya: Muda wa kusafiri kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma umepungua sana, sasa hivi ni kwa saa tatu badala ya saa mpaka...
  12. Profesa Kitila Mkumbo: Deni la Serikali limefikia Tsh. Trilioni 96.8

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia mwezi June mwaka huu 2024, deni la Serikali liliongezeka na kuwa Tsh. bilioni 96,884.18 (Tsh. trilioni 96.8) ambapo Kati ya kiasi hicho, deni la ndani lilikuwa shilingi bilioni 31,951.24 na deni la nje lilikuwa shilingi...
  13. Prof Kitila: Waliopinga DP World Wakiri Mafanikio Yake Hadharani

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amewataka wale waliokuwa wakipinga mkataba wa uwekezaji wa kampuni ya DP World katika Bandari ya Dar es Salaam kujitokeza hadharani ili kukiri mafanikio yaliyopatikana kutoka na uwekezaji huo. Prof. Kitila ametoa kauli...
  14. Prof. Kitila: Rais Samia Ametunza Amani, Usalama na Utulivu wa Nchi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kutunza hali ya usalama na amani nchini tangu alipoapishwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Akizungumza na wananchi wa Kata...
  15. Prof. Kitila Mkumbo: Wapinzani Wanauza Malalamiko, CCM inauza Mafanikio

    My Take Wapinzani wa Tanzania ni uchwara na hawajitambui . 👇👇 "Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetekeleza miradi mingi ya maendeleo hasa kwenye Jimbo letu la Ubungo ndio sababu tunasema wapinzani wanauza malalamiko lakini sisi CCM tunauza mafanikio" Prof. Kitila...
  16. L

    Profesa Kitila Mkumbo: Ushindi wa Dkt Ndugulile ni Matokeo ya Mafanikio Ya Miaka mitatu ya Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  17. Prof. Mkumbo: Kila Mtu amlinde mtoto wake, kuna watu kwa tamaa wanawateka watoto

    Prof. Mkumbo Kufuatia hali ya sintofahamu iliyoripotiwa kutokea eneo la shule ya msingi iliyopo Mburahati Kata ya Mkurumla iliyopo Wilaya ya Ubungo kwa wazazi na walezi kukusanyika kwenye eneo la shule kutokana na hofu ya madai ya watoto kutekwa, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo...
  18. Serikali yasalimu amri mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo, yakubali kusitisha kamatakamata ya TRA na kuleta mfumo mpya wa kodi

    Hiyo ndio Taarifa ya sasa baada ya mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo unaoendelea ======= Waziri wa Viwanda na Biashara, Kitila Mkumbo amesema wamekutana na wafanyabiashara wa Kariakoo na kutoka sehemu nyingine Tanzania wakiongozwa na mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo, Majid Mbwana...
  19. Kitila Mkumbo: Tunataka kuona tunasafirisha betri za magari ya umeme na sio madini yake. Anadi umasikini utakuwa 0 mwaka 2050 nchini

    Wakati akiongelea hali ya uchumi na mpango wa maendeleo bungeni leo Juni 13, waziri Kitila Mkumbo amesema wataendelea kuzingatia nafasi ya madini kukuza ujazo wa mauzo nje ya nchi na kuzingatia umuhimu wa madini ya kimkakati kutimiza azma ya dunia kuzalisha nishati safi na salama kwa mazingira...
  20. Profesa Kitila Mkumbo: Kiwango cha Umasikini Nchini kimepungua

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema katika miaka 25 ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo (2000-2025) kiwango cha umasikini kimepunguzwa hadi kufikia asilimia 26, na lengo ni kumaliza katika miaka 25 ijayo. Profesa Mkumbo amesema hayo katika kipindi cha Jambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…