Wadau hamjamboni nyote?
Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.
Mama huyu aliye jemedari mahiri amefanya makubwa yenye manufaa
Ndiye mwanamke pekee aliyewahi kuongoza Jamhuri...