Mashine ya Mjerumani imeanza kazi huko DRC ambapo ile falsafa ya Gusa Achia Twende Kwao imeanza kufanya kazi ambapo mkongo kakimbizwa isivyo kawaida kipindi cha pili hadi akaamua kuachia, ilikuwa Gusa Achia Twende Kwao mwanzo mwisho na kama refa angaliongeza dakika 10, Gusa Achia Twende Kwao...