MAMBO 10 KUHUSU MKEO YAZINGATIE..
1. Mkeo sio mkamilifu, msamehe.
2. Mkeo ndio uti wako wa mgongo, usiuvunje.
3. Mkeo ni tunu, mthamini.
4. Mkeo ni kito adimu, mtunze.
5. Mkeo ni rafiki yako bora, muweke karibu yako.
6. Mkeo ni furaha yako, mnawirishe.
7. Mkeo anatakiwa kuwa bora kabisa...