Mamlaka ya ya hali ya hewa Tanzania(TMA) , imesema haijawahi kutangazia Umma kwamba kuna Mvua za El-nino.
Akiongea na Wasafi FM, Dkt. Mafuru Kantamla Meneja Ofisi Kuu ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) amesema wanaosema mvua za El-nino wanapotosha.
Kasema hivi, Namnukuu, "El-nino ni...