Najua zipo series nyingi sana ambazo waandishi walituliza akili kuziandika kama vile vikings,lord of the rings etc,ila bado sijakutana na mzigo mkali kama Game of thrones, humu mwandishi alijua watazamaji ni nini tunataka na akatupatia. Natumai waandishi bongo muvi watafikia levo hizi 1 day.