kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kampuni za condoms kutoa taarifa ya kudorora Kwa soko, hii inaniacha na maswali mengi

    Makampuni ya condoms yamelalamikia soko la condoms kudorora 1. Watu wanajikinga vip dhidi ya Ukimwi? 2. Watu wamepunguza kufanya ngono? 3.Dhana ya kuamini mtu anaishi vyema hata akiwa anatumia ARV? 4. Ukimwi wa Sasa umepungua nguvu? 5. Viongozi wa dini wamefanya kazi Yao vyema? Kwa uzoefu wangu...
  2. Aziz Ki kutoa mpira wake kwa sureboy anatuma ujumbe gani kwa nani?

    Je, ni rafiki yake?; je, anampa pole kwa kusugua benchi? je , anawalaumu makocha kwa kutompa nafasi Sureboy ya kucheza? Au ni nini alimaanisha?
  3. Pre GE2025 Waziri Bashungwa aiagiza NIDA kutoa vitambulisho vya taifa haraka, kwa wananchi wa mikoa ya pembezoni

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeagizwa kushirikiana kwa karibu na Idara ya Uhamiaji na Idara ya Wakimbizi ili kubaini waomba vitambulisho vya taifa wanaoikidhi vigezo vya kupatiwa vitambulisho hivyo hususani kwa kwa wananchi wa mikoa ya pembezoni na kuwapatia kwa haraka. Maagizo...
  4. Kwa nini Tunaoa? Ni Lini Ndoa ina-expire na hautakiwi kufikiri Kutoa Talaka.

    KWA NINI TUNAOA? NI LINI NDOA INA-EXPIRE NA HAUTAKIWI KUFIKIRI KUTOA TALAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Lazima ujifunze, kabla hujakipokea kitu au Jambo lolote lazima ujifunze namna ya kukitumia na kukiacha siku kikiwa Expired na useless. Hiyo ni Kanuni. Ndoa ni muunganiko wa hiyari...
  5. Zelensky: Ukraine iko tayari kutoa ardhi yake Kwa urusi kumaliza vita

    Raisi WA Ukraine Vlodomir Zelensky amesema nchi yake iko tayari kutoa kipande Cha ardhi yake Kwa urusi ili kumaliza vita na uhasama baina Yao. Chanzo: SPECTATOR INDEX
  6. Sababu Za Uke Kutoa Harufu Mbaya

    Kutoa Harufu Mbaya Ukeni: Uke kutoa harufu mbaya ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi duniani, hususani wakati wa tendo la ndoa. Uke kutoa harufu mbaya kwa kiasi kikubwa husababishwa na fangasi wa candida albicans, japo sio kila mara ndio maana kuna umuhimu wa kutafuta chanzo cha tatizo la...
  7. Uzi wa kutoa Maoni Juu ya Taasisi Zilizoshindwa kusimamia Misingi ya kuundwa kwake hivo unatamani zifutwe.

    Habari wana bodi. Kutokana na Anachoendelea kukifanya Trump huko USA, Nimepata tafakuri ya hapa kwetu Tz. Tuko na baadhi ya taasisi zilizo shindwa kabisa wazi wazi kutekeleza matakwa ya kuanzishwa kwake hivyo ni sawa na hakuna. Uzi huu ni wa kupendekeza hizo taasisi, Na kupendekeza zifutwe au...
  8. Makolo mnalia nini kutoa sare na wakati nyie wenyewe mlisema mnajenga timu

    Maendeleo yoyote yana gharama zake na kilichotokea leo ndio matokeo ya maendeleo hayo. Sasa nawasihi muendelee kushikamana swala la ubingwa muliweke pembeni nyie endeleeni na project yenu. NAtabiri maneno yatakayoanza sasa -GSM ana dhamini timu nyingi -Bahasha zinatembea (zitatembea mpaka tar...
  9. Kwa muujibu wa sheria ya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1 kinaeleza waajiriwa wa vyombo vya habari kusoma na sio mtu wakawaida haruhusiwi kutoa

    Nimesikia kauli iliyotolewa bungeni na waziri naibu wa habari, tamaduni na sanaa na michezo Hamis mwinjuma kwamba wachambuzi wote lazima waende shule kwanza ambapo amedai kwamba ni kutokana na sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1, Katika uhalisia sheria haikumaanisha...
  10. Pre GE2025 CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee

    Wakuu Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa Ubunge kupitia CCM. Bw. Sempa alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji Abdul...
  11. Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika

    Mwamba amezoa tuzo Tano (5) kwa nyimbo Moja tu "Not like us" najiuliza je angekua katoa album kabisa ingekuaje? Ndipo napata jibu kuwa "Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika" Angeweka rekodi ya msanii wa hip hop kuchukua tuzo...
  12. Serikali Kutoa Muongozo wa Kuajiri Wanaojitolea

    SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA KUAJIRI WANAOJITOLEA Serikali imeeleza kuwa iko hatua za mwisho kukamilisha mwongozo utakaoangazia jinsi ya kuwaingiza katika mfumo watumishi wanaojitolea nchini. Hayo yameelezwa, Jumatano, Januari 29, 2025, na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa...
  13. K

    Kwa USA: Ni ujinga kutoa misaada halafu tunapelekea pesa China, waarabu, Urusi na Uturuki

    Mange yupo sawa kwa hili https://youtu.be/wMER57zVsfg?si=ZIhQ0ZUpmoGYodnJ Miradi ya treni yote na barabara badala ya kutoa kwa kampuni za Tanzania badala yake wanatoa kwa China
  14. Mzee wa Ukoo aleta mtafaruku msibani baada ya kutoa kauli tata

    Nipo Marangu msibani nimemsindikiza best wangu aliyefiwa na shangazi yake na mazishi ni kesho. Sasa basi asubuhi ya leo tukiwa hapa msibani kuna mtafaruku mkubwa umetokea baada ya mzee mmoja anayetambuliwa kiukoo kama Mzee wa Ukoo kusema kwamba baada ya huo msiba atakayefuata kufa ni kaka wa...
  15. Trump amegundua kiasi cha $50million kilitaka kutumika kutoa msaada wa Condoms huko Gaza.

    Mind you, hamas imekuwa ikitumia kondomu zilizojazwa heliamu kuelekeza mabomu kupitia mpaka wa Israel ili kufanya madhara.
  16. R

    Askofu Bagonza alonga ushindi wa Lissu na "ushindi" wa Mbowe: Ninaandika kupongeza. Sina pole za kutoa.

    ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Benson Bagonza amechambua ushindi wa Tundu Lissu na kushindwa kwa Freeman Mbowe kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Juzi Kamati ya Uchaguzi wa CHADEMA ilimtangaza...
  17. Nitaenda Kanisani kutoa sadaka maalum ya shukrani

    Mungu Baba mwenye enzi yote Muumba wa mbingu na nchi asante baba kwa kutuvusha salama sisi CHADEMA kwenye huu uchaguzi wa kihistoria. Mara tu baada ya ushindi wa Lissu nikajiwa na wazo la kurudi Kilingeni nikafanye kafara lakini nikakumbuka kumbe nilishatoka huko 💪🏿🙏🏿 Bila kusema uongo mimi ni...
  18. Kuna Mtu leo duniani Lipshine ilizidi Mdomoni halafu alikuwa akiongea so Sexy hasa hasa akiwa anamalizia kutoa Maelekezo

    Binafsi nikiwa kama mwana Dunia pia nilifurahishwa nae zaidi alipokuwa akiongea kwa Kulegeza Sauti mwishoni. ANGALIZO Kabla ya Kuchangia huu Uzi nashauri Kwanza uangalie hapo juu upo katika Jukwaa gani ili tusije Kutibuana mbeleni.
  19. Wana CCM wapewe nafasi ya kuwania kiti cha Urais kisha Kura zipigwe. Kile kilichofanyika ni dhulma

    Mpo Salama! Wapo watu walitaka na wanatamani kuwa sehemu ya watakaotumia Haki Yao ya kikatiba kuwania Tiketi ya Urais kwa Njia ya CCM. Hata kama Wana CCM hao ni wawili au Mmoja. Wanahaki ya kufanya hivyo. Watu wote waungwana, watu wote wenye AKILI, watu wote wenye kupenda haki, watu wote wenye...
  20. Yericko Nyerere: Kama wewe sio mpiga kura usisogee ukumbi wa kupigia kura Mlimani City

    Hao ndiwo wapiga zumali wa bwana Mbowe kwa sasa. Na ndiwo anaowategemea baada ya Uchaguzi watakuwa wasaidizi wake kwenye Chama. Tafakari.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…