lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Lissu atafanya vijana wengi wakapige Kura Uchaguzi Mkuu

    Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020. Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  2. Tundu Lissu aliwezaje kuiunga mkono hii switcheroo?

    Mwaka 2015, Tundu Lissu aliwezaje kuunga mkono ubadilishaji wa gia angani? Kwa siku na wiki hizi chache kuelekea kwenye uchaguzi wa CHADEMA, Lissu amekuwa akifunguka sana kuhusu mambo ya ndani ya chama chake. Kupitia kuongea kwake huo, yaelekea kuna mambo mengi sana ambayo alikuwa hakubaliani...
  3. Ni makosa ya kiufundi kuandaa mdahalo katika jengo la TLS ambalo Mwabukusi ni Rais wake, na anamunga mkono Lissu hadharani, haki isingetendeka

    Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke. Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
  4. T

    Pre GE2025 Baada ya Mbowe kukacha mdahalo, Lissu asema ingependeza kama mdahalo ungewahusisha wote watatu

    "Tukutane kwenye Medani Kuu Live na Chief Edwin Odemba kujadiliana juu ya 'Uongozi Wetu na Hatma ya CHADEMA 2025 & Beyond'! Katika kuelekea 'Fainali' ya tarehe 21 Januari, 'Mdahalo wa Wenyeviti' ni utamaduni wa kisiasa unaopaswa kujengwa na kukuzwa kama sehemu ya ujenzi wa utamaduni wa...
  5. Mwaifunga: Wajumbe tukimchagua Mbowe hata Kama hatujahongwa Wananchi Watasema tumehongwa tu tukimchagua Lissu Wananchi Watatuita sisi ni "Mashujaa"

    Anaandika Moses Mwaifunga === MUONEKANO WA WAJUMBE ENDAPO MBOWE ATATANGAZWA MSHINDI KWA WADAU NA WAPENDA MAGEUZI, Wakimuona tu mjumbe anacheka watamwangalia mdomoni je alilambiswa nini,wakiona tu mifuko imetuna watamwangalia kwa makini awemeka nini kwenye pochi,mjumbe akipita kwenye ATM ndo...
  6. Watangazaji wa Clouds Media, Wampiga Stop Tundu Lissu kutaja jina la Abdul kwamba alimpelekea Rushwa. Idrissa Rubibi na Daniel Naftari wadakwa na Pesa

    Maelezo ya Tundu Lissu *Mimi wanasema sina pesa. Na kama sina pesa sina pesa za kugawa. *Mimi sitoi Rushwa na Sipokei Rushwa. Nililetewa hapa kwenye Sebule hii na Abdul Mtangazaji: Mheshimiwa tunaomba tusitaje Majina. Tundu Lissu: Kwanini nisitaje kama vinaweza vikathibitika? Mtangazaji...
  7. Iwapo Lissu atashinda Uchaguzi, Makao Makuu ya CHADEMA yatahamishiwa Ubelgiji?

    Utangulizi Katika kipindi ambacho Tanzania inajiandaa kwa uchaguzi, mawazo na hisia mbalimbali zinatawala miongoni mwa wafuasi wa vyama vya siasa. Miongoni mwa wagombea wanaotajwa kuwa na nafasi kubwa ya kushinda ni Freeman Mbowe na Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
  8. M

    DAR: Mkutano Mkuu wa Jimbo la Ukonga Watangaza kumkataa Mbowe na kumuunga mkono Lissu

    Kuna haja washauri wa Mwenyekiti Mbowe kumshauri upya. ====== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Ukonga jijini Dar Es Salaam, Gaston Makweta pamoja na Katibu wa Jimbo hilo Robert Nyambuya wametangaza kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Tundu Lissu katika...
  9. VIDEO: Mbowe, Lissu wasalimiana kibabe BAWACHA, huku wakicheza kwa bashasha wimbo wa "Tuvushe Mbowe Tuvusheee"

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wakisalimiana katika mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) unaofanyika leo Alhamisi Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Wote wawili wanamchuano mkali...
  10. J

    Wenje na Lema karibia watatutegulia Kitendawili cha Washirika wa Shambulio la Tundu Lisu!

    Ni swala la Muda tu na hii itawashangaza wengi RIP shujaa Magufuli Ahsanteni sana
  11. Wakuu naombeni CV za Waandishi habari wote waliomuhoji LISSU tangu atangaze kugombea umakamu !!.

    Husasan wa Media za hapa Tanzania !!. Maana ni aibu aibu aibu aibu aibuu narudia ni AIBUUUUU . Hivi kuna vyuo binafundisha hii taaluma? Au ni ujanjaujanja tu wa MTU, anafika Clouds , ana sauti ya kutangaza, basi anaitwa mwandishi wa habari?. Yaan tuseme, Zembwela akae kumuhoji LISSU?? Hapa...
  12. Pre GE2025 John Heche: Lissu atashinda Uchaguzi hilo liko wazi na halipingiki

    John Heche amesema kuwa Tundu Lissu ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi wa Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa, akisisitiza "hilo liko wazo na halipingiki" Licha ya kumuunga mkono Tundu Lissu, John Heche alichukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  13. S

    Lissu akimjibu Wenje na kusema yote hata yale ambayo alikuwa hataki kusema mtamuita mropokaji? Tukumbule Lissu alikuwa nje ya nchi wakati huo

    Hili ndio swali langu kwa timu Mbowe na vibarqka wengine plus MA-CCM wote wanaotaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti. Lema na Lissu, mjue Mbowe sio wa kumsitiri tena kwa lolote. Yuko kimya ila msifikiri Wenje yuko peke yake. Huyu katumwa. Wameona wana hali mbaya sasa wameona waibue tuhuma ili...
  14. L

    Mbowe Akishinda Uenyekiti kazi ya kwanza iwe ni Kumtimua Lissu Chamani ili asiendelee kukivuruga na kukigawa chama

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini akipita na kushinda uchaguzi hiyo tarehe 21 mwezi huu .ambapo anatarajiwa kushinda na kupita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.anapaswa kwa haraka sana na mara moja kumtimua Lissu...
  15. Mdahalo wa Mbowe Vs Lissu uongozwe na Stephen Sucker wa HARD TALK-BBC !

    mnamo 16-1-2025 chombo kimoja kikubwa cha habari kimefanya mahojiano na Tundu Lissu nyumbani kwake Tegeta -Dar es salaa, Tanganyika. Waandishi / Watangazaji watatu wamemuhoji :- Sam Sasali PJ Kijja Katika hali ya Kusikitisha, Kijja ambaye ni kada wa VEGGIE PARTY amekua akiuliza maswali kama...
  16. WENJE TUSAIDIE: Je, Lissu huyu aliyetaka kumpindua Mbowe akiwa gerezani ni Lissu yule yule aliyemwambia Rais Samia kabla ya maridhiano Mbowe aachiwe?

    Wenje naona Kuna kitu hakiko sawa kwake nadhani ni PRESHA ya Uchaguzi inamzidia, Akiwa Wasifi TV alituambia ni Lissu aliyeasisi Maridhiano na moja ya sharti alilotoa kwa Rais Samia ni kumwachia huru Freeman Mbowe bila masharti, Sasa kama alitaka Freeman Mbowe aachiliwe halafu wakati huo huo...
  17. Pre GE2025 Tundu Lissu amesema ni kifo au kufukuzwa ndio vitamtenganisha na chama hicho

    Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025 "Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua mamilioni ya Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wanataka mabadiliko kwahiyo nitaendelea mapambano ndani ya...
  18. Wajumbe mtakaochagua Mbowe mtafanya kazi na nani ikiwa kila mwanachama anamtaka Lissu?

    https://youtu.be/nLcsl_rWxOo?si=p2kxWopIgVxceR8x Wajumbe wenye sifa za kupiga kura kumbukeni mnawakilisha wanachama wa maeneo mnapotoka. Chagueni kulingana na matakwa ya wanachama badala ya kuangalia njaa zako. Wanachama kutoka kila kanda wameshatoa matamko ya kumtaka Tundu Lissu, sasa ole...
  19. M

    Lissu hawezi kufanya kazi na kiongozi mwingine yeyote ukiondoa Mbowe

    Ukiondoa Mbowe ambae unafanya nae kazi miaka 20 kabla kuhadaiwa na mitandao ya kijamii huwezi kufanya kazi na mwengine yoyote. 1. Hawezi kutunza siri 2. Kujiona too much know 3. Kujiona maarufu na uwezo baada ya shambulizi 2017. Hii inamfanya Lissu hawezi kufanya kazi na yoyote mwengine
  20. J

    Akili kubwa: Tundu Lissu ameshawahutubia BAWACHA kabla ya Hotuba ya Mgeni rasmi

    Mgeni rasmi kwenye Uchaguzi wa Bawacha anategemewa Kuwa Mbowe na hii ilipangwa Kwa umakini ukizingatia Bawacha ni Jeshi kubwa Jana Tundu Lisu kamuwahi Mwenyekiti wake Kwa hotuba yake mitandaoni ya kuwataka wamchague mama Simba Chadema ina wasomi wa vipaji aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Happy New Year 🌹
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…