Katibu wa TEC Padre Dr. Kitima amesema Maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, walikuwepo watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila walichosikia ni kuwa Maoni ya Wananchi yamezingatiwa.
Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na "Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema.
Naye...
Halikuwa jambo la kiungwana. Wahusika mnisikie na kunielewa. Jana, pale Ikulu Chamwino kwenye utiaji saini mikataba mitatu ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam kati ya Serikali/TPA na DP World vilirushwa vijembe kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Tuliofuatilia tunajua kuwa...
Kama walihudhuria basi watakuwa wametenda dhambi hizi:-
Wamesaliti waraka wao waliousoma kwa majuma 6 mfululizo kupinga uwekezaji huo;:-
Wamepofushwa na fedha sh milioni 100 waliopewa hivi karibuni na rais Samia .
Wamedharau waumini wao. Kwann kama wameukubali waraka hawajapeleka mrejesho...
Baba mtakatifu Francisco leo tarehe 19.10.2023 amemteua padre Jovitus Fransis Mwijage wa jimbo Katoliki Bukoba kuwa Askofu mpya wa jimbo hilo. Ikumbukwe Askofu wa Bukoba aliyekuwepo, Desiderius Rwoma alistaafu kwa mujibu wa sheria za Kanisa kutokana na umri.
Pia kwa sasa Jimbo Katoliki Bukoba...
Nadhani ni muhimu sana kuendelea kukumbushana mara kwa mara na kwa kina juu ya nini hasa kinahojiwa kuhusiana na kuuzwa kwa Tanganyika kwa ujumla wake.
Japo ukisema Tanganyika imeuzwa wanakwambia lete ushahidi kwamba nchi imeuzwa, sasa tujiulize, lengo la kutaka kubadili sheria ya kulinda...
Ndugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.
Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo...
Walinyang'anywa Shule zao wakakaa kimya
Walinyang'anywa Hospitali zao wakakaa kimya.
Walinyang'anywa vyuo vyao wakakaa kimya.
Leo waliosoma kwenye shule walizonyang'anywa ndio hao hao wanaosema kuwa maaskofu wanachanganya dini na Siasa.
Wale wale wanaotumia Hospitali za Kanisa badala ya...
Serikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa...
Kwema Wakuu!
Nikishasikia kiongozi wa kisiasa hataki viongozi wa dini wakemee Maovu hasa ya haohao watawala na kuingiza neno isichanganywe dini na Siasa, hapo napatwa na harufu ya uovu.
Hakuna haja ya uwepo wa dini ikiwa manabii, mitume, maaskofu, wachungaji na wote wanaohudumu kwenye...
👍👍nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu...
Agosti 20, mwaka huu, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), lillibua miadala baada ya kuitaka Serikali kusitisha mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kiuchumi na kijamii, kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai (IGA), kwa sababu ya hoja kadhaa, ikiwamo wananchi walio wengi hawakubaliani...
Wasomi kweli kweli seminary zimetoa watu makini sina shaka hizi shule zilikua zinatoa division one form four na form six kama mvua discipline ya hatari disciples, mkikutana nao kwenye football wanawagonga darasani wanawacharaza, uthibitisho wa usomi wao.
1.Vyombo vya habari vimebanwa haswa...
I. UTANGULIZI
Aya ya 19(2) katika Katiba ya Tanzania (1977) inaizuia serikali kujitenga na ubaguzi wa kidini na kuhimiza usawa wa kidini kwa kutumia maneno ifuatayo:
"Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni...
"Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini...
dini
jakaya kikwete
kanisa katoliki
katoliki
kikwete
kimya
kunani
maaskofu
magufuli
mkataba
mwinyi
nani
rais
rais mwinyi
samia
siasa
siasa na dini
tanzania
tec
wastaafu
Bila kupoteza mda waraka wa Maaskofu umemtoa Kikwete pangoni alikojificha siku nyingi.
Binafsi nimekuwa nikihoji uadilifu wa huyu mstaafu na faida yake kwa nchi pale mambo yanapokuwa yanaenda mrama amekuwa kimya sana.
Sasa tumemskia anakemea udini ambayo ni planned huko mara kwenye kanisa la...
1) tukumbuke kanisa katoliki lina wasomi wengi sana tena wenye uwezo na elimu za juu sana na kikubwa zaidi wana intelligence system yenye nguvu sana kote duniani. Ukiona jambo wameshikilia msimamo ujue kuna kitu.
2) Najiuliza sana kwanini hawa DP wanakuja tu baadhi ya sheria zinataka...
Kanisa Katoliki Tanzania limetoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, kinachoanza rasmi Jumatano ijayo tarehe 14 Februari 2018 [ambayo ndiyo siku ya wapendanao, Valentine. tusherehekee kwa Toba eeeh tafadhalini!]. Kipindi hicho hujulikana pia kama...
Niko hapa kuthibitisha hilo pasi na chembe ya shaka yoyote leo nimehudhuria ibada ya misa takatifu katika kanisa la St Joseph Cathedral Dar.
Waraka umesomwa kwa waumini wote, na kupitia reliable source ya Jesuits agent amenithibitishia makanisa yote na vigango vyote vya kanisa katoliki Tanzania...
Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni jambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono...
Tumeshazungumza mengi humu kuhusu mkataba wa kilaghai wa kuchukua Bandari zetu milele na kuwakabidhi Waarabu wa Dubai.
Sa100 lazima aambiwe ukweli kwamba hata kama alikuwa na nia nzuri kuhusu uwekezaji katika Bandari lakini approach yake imekuwa ni njia isiyokuwa wazi ( hakuna ushindani ktk...